sio kweli wengine wanaomba talaka sababu ya maumivu tu lakini sio kama ana plan b
2026-06-17 04:44:48
99
user4186177245948 :
ni uongo mimi nimeomba talaka na sina hata pakuelekea nilichoka vitimbi na visaa nikaamini nikipewa talaka tu mungu atanipangia kila kitu niliondoka kwa imani tu nakila kitu kilikuwa sawa baada ya talaka na nikajisemea sitaki mume tena nipo hapa kwa uwezo wa mungu shida raha maisha yanaendelea
2026-06-17 07:49:17
34
papaa' :
😅😂did that. 🥰
2026-06-17 08:27:09
1
Mrs ngamia :
hapana wanawake tunapitia mengi sheh moyo unachoka🥺
2026-06-17 09:44:19
6
saknah :
shakhe apo umekosea sana kumbuka kuna maudhi unatendewa na mwanaume na unaomba kwa hasira
2026-06-17 10:37:17
8
rubnamohammedy :
Hapo umechemka shekhee mwengine hajui ataenda wapi ila hasira tuh na maumivu
2026-06-17 10:32:19
6
cute mwanaa03 :
shekhe ile Aya watawaswaubi liihak watawaswaubi subr inatumika kwenye mambo gani??