@adobert: Jinsi ya kupata App ya Paypal ndani ya Mpesa App #paypal #MpesaAp #mpesa #Adobert #digitalpayments

Adobert Albert
Adobert Albert
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 16 June 2026 20:02:19 GMT
7338
383
15
17

Music

Download

Comments

robbyexaud
Robby Mrema :
mimi nimejarbu kurudisha pesa kutoka paypal to mpesa ina fail shida ni nini??
2026-06-16 21:31:38
3
nelly..boe
nelly..boe :
Paypal inasaidiaa kulipiaa vitu mitandaoniii
2026-06-17 06:22:56
2
apkgamelinkgame
apkgamelinkgame :
nimeweka namba but still inagoma 😔
2026-06-18 23:17:33
1
kichatv
KICHA TV :
sasa ivi adi raha .. hela za tiktok sihangaiki kuzitoa sasa ivi🥰🥰
2026-06-17 02:57:42
1
devinn_dd
Devin :
Hiyo system ya Paypal and M-Pesa bado haiko sawa, My account iko frozen baada ya kureceive funds na siwezi hamisha hela zangu kutoka Paypal kwenda M-Pesa
2026-06-17 01:08:49
2
suitscycle
suitscycle :
Naomba kuuliza kule PayPal ni lazima u-connect na visa card au uki-link na mpesa app haina haja ya ku-connect ya visa card
2026-06-17 20:14:42
1
kirikoualiy0
Kirikou Aliy Abuiy :
hello kaka
2026-06-23 03:40:41
0
oscarlee489
oscarlee489 :
ni voda tu?
2026-06-17 03:28:29
1
valeadolph
valentina🤗 :
nataka niunganishe na ticktok itawezekana ukinijibu naomb unitag plz
2026-06-16 21:22:44
1
kirikoualiy0
Kirikou Aliy Abuiy :
Mimi nimefika hadi kuunganisha kwenye m pesa ila nimeshindwa kuunganisha
2026-06-23 03:43:26
0
modamusic13
MODA :
voda wanasema Tanzania 🇹🇿 ni ku send tuu pesa kwa PayPal sio kupokea
2026-06-17 05:00:20
1
kirikoualiy0
Kirikou Aliy Abuiy :
Naomba no yako ya sim
2026-06-23 03:41:18
0
godfreymngoni
Ngonifaceless channel :
sasa ukienda kwenye paypal inasema not illegible in your country
2026-06-17 02:24:08
0
codetz485
Code Tz :
Wewe jamaa hivi AliExpress ukiagiza bidhaa Haina charges za TRA au posta inakuja hadi nilipo kama kikuu?
2026-06-24 07:37:34
1
To see more videos from user @adobert, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About