waoooo wanaparokia wangu pendwa hakika nimebalikiwa na huu wimbo
2026-06-18 18:25:00
1
Tina :
Hongereni sana, nimewakumbuka Luhala kwaya yenu imedumu sana, tulikuwa tunachuana sana kipindi cha mashindano ya kwaya mwaka 2008 Me niliimba Kwaya yetu ya ngw'ankulwe Mmenikumbusha mbali sana🙏🙏
2026-06-18 16:53:00
1
user1830474361612 :
Hongereni Wasukuma mie naenda na Biti tyuuuu😁💪💯
2026-06-18 09:29:12
2
JC Cyprian :
hongera sana fr kwa kuwa social tunapenda sana kuwa na mapdre wa Aina hii karibu parokia teule mayolwa kwa fr mukoza
2026-06-17 09:55:52
2
tressy lee :
Catholic for life ❤️🔥🙏
2026-06-16 20:27:10
2
tine :
hongera sana Baba kwa utume wako Parokia yetu ipo mikononi salama..
2026-06-17 11:30:06
1
nganza-kwayi 700 :
Hongereni sana mungu awabariki Parokia ya Mwabagole Parokia yetu mama,ndiyo iliyoizaa parokia yangu kwa sasa Parokia ya mt.Telezia Hungumalwa karibuni pia hapo kwetu