Darsa zake zimenyooka sana itakuwa vyema hta kama ametolewa hpo alipokuwa ila tunahitaji sana Mawaidha yakee Mwenyezi Mungu ndo anajua hatma zetu kama mitihani tumeumbiwa sisi basi na yy amejarbiwa Kwa hili ila isiwe na fitina za watu
2026-07-15 09:42:01
3
Madrìd Bòy :
shekhe walid waislam tunakupenda sana hata wakuchafue kvp
2026-07-16 21:55:31
3
mandoza rikado :
bakwata mamlaka yakuchanguwa yenu lakini sio kuukumu.mmempandisha dalaja na tunaomba dalasa kila siku kwa shehe wetu kipenzi chetu imamu wetu kijana kwezetu mtu mzima mwenzetu mashaallha mashaallha mashaallha 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
2026-07-15 12:25:00
2
🦋Saadiya🧕🦋✌️&❤️ :
kila nikikuangalia napata huuzn wallah ila allah ndy mjuzi zaid tunakupenda sana sheikh wt