faida ya 1.7M kwa miezi 16 ni sawa na 106,250/= kwa mwezi, kwa mtaji wa 3.1M kupata faida hiyo ni kupoteza muda tu, coz ukieka iyo 3M kwenye biashara ya chakula kuondoka na 500k+ ni possible sana😁
2026-06-17 10:47:01
25
Wilfred Makonga :
ukinunuwa pooltable Tshs 1,800,000 ukaliweka sehemu nzuri token 500 kwa siku unaingiza zaidi ya 30,000 ko kazi kwako ununuwe pooltable 2 au bodaboda 1 kwa hiyo gharama
2026-06-16 21:25:26
15
mulastar255 :
Biashara nzuri sana ikiwa kwenye karatasi
2026-06-17 13:15:16
9
IBAD :
akuna boxer ya bei iyo dukan mzee
2026-06-17 14:15:25
1
Daudi✔️ Michael ☑️ :
kaka saiz ni miezi hadi kumi na 18 na kwa siku ni 12800 na 14000 😅
2026-06-18 13:09:40
0
Mellaprosper :
Sema nini mkuu
Kweli hatupo siliazi kabisa
2026-06-17 11:14:08
0
Dullu boe :
Maisha ya kwer🙇🙇🙇🙇🧗
2026-06-17 09:20:39
0
Frank_Brown_kilulya :
Utoe 3m alafu mwaka mzima na nusu upata 1m biashara ya kingese sana
2026-06-17 07:06:22
10
JR 22 :
nikweli kabisa nnazo 4 mkuu madeni mchele
2026-06-16 22:18:03
7
Manyota brand :
we bado upo nje ya muda sisi tunachukua 12000 kwa siku
2026-06-17 10:33:33
0
KATONGO JR :
pool table sh:1.8 ml
kwa siku token sh:500
unaweza uza adi token 100 sh:50000
toa umeme 5k kodi 10k kijana 10k
faida 35k kwa mwezi
akuna kitu chakununua mpaka miezi sita ndo unabadili kitambaa
na mpak pool ichakae I nachukua adi miaka mi3
faida kwa siku 35k
piga 35k maa miaka mitatu ambayo nisiku 1080
unapata 3500×1080=37,800000
kwaiyo kwa miaka mitatu unapata 37,800000
iyo ndo biashara ya kwanza yenye faida duniani ya pili ni SHISHA
freva kg1 sh:150000 mint
love66 kg1 sh:80000
mikaa minne 100000
firta mbili 14000
jumla sh:344000
na kila kg1 inatoa vikombe 40
kwa kilo mbili jumla vikombe 803
shisha moja ukiuza 20k
unapiga 20×80=1600000
ukitoa 160000 toa mtaji 344000=1256000
ukitoa kijana mshahara 400k
1256000 toa 400000= 856000
ndani ya mwezi mmoja ukipiga mala miaka mitatu ambayo ni miezi36
856000×36= 30,81600
kwaiyo toauti ya pool table na shisha ni 7ml.
2026-06-18 02:06:10
2
Its Me Again :
Hizi hesabu mnapiga kimakosa, hapo ni kama unaingiza 106,000/= kwa mwezi, ukiweka kila kitu constant bila tatizo la pikipiki.
2026-06-17 10:04:44
1
saedsaeed32 :
kitambo mkataba ilikua miez 18 lkn sasa iv ni miez 20
2026-06-17 09:46:37
1
official-chaliga :
na boss gani anatoa hesabu elf 10 hesabu elf 12
2026-06-18 10:46:06
0
Ami_boy_xmart :
kwa hesabu za harak harak siwezi kufanya biashara hii haina hela
2026-06-17 13:17:58
0
Tino crashman23£££ :
wapakie muhabie
2026-06-17 14:04:55
0
goldenstarbad :
🔥🔥🔥
2026-06-18 13:59:49
0
To see more videos from user @gastmedia, please go to the Tikwm
homepage.