@kevychazy_: @rayvanny amefunguka kuwa @harmonize_tz ni kijana wa @diamondplatnumz hata yeye ni kijana wa diamondplatnumz na harmonize hawezi kubadilisha hicho kitu. Full interview ipo kwenye youtube channel ya #chazymedia #tiktok #fypシ゚viral #tiktokindia