@coconutfmzanzibar: "Dereva ameendesha gari miaka 30 hana historia ya ajali hana tatizo lolote anafamilia zinamtegemea unamrudisha darasani kusoma wiki tatu alafu unampa mtihani alafu akifeli unamwabia rudi nyumbani akakae hajui kazi nyengine yoyote nikuombe sana Mh Spika na Waziri hili swala halifai. #coconutfm #zanzibar #mamboyazenji
coconutfmzanzibar
Region: TZ
Tuesday 16 June 2026 21:54:13 GMT
Music
Download
Comments
bahariamkombozi61 :
😭😭😭Nimefurahi mpaka nimetoka machozi walah umeongea point kubwa sana tunapata shida sana
2026-06-17 05:37:48
21
Leyla :
Mbunge Mwenye Akili Nyingi Rais Wa Awamu Ijayo 🥰🥰
2026-06-17 09:50:10
2
Hamza Seleman :
Asantee babaaa waambie
2026-06-17 09:56:13
0
harunambegula12gmail.com :
safi sana kiongozi umeongea ukweli kabisa ndo viongozi tunaowataka sisi hongela sana mheahimiwa umeongea point sana
2026-06-17 08:00:43
4
nuru ya muangaza :
asante sana mungu akutunze kwaajili yetu
2026-06-17 08:55:01
2
user49865349991075 :
ni kweli msukuma unapoint sana
2026-06-17 07:17:39
4
yahyashabani301 :
Asant sana mbunge msukuma ongera sana kiongoz asant mwenyezi mungu
2026-06-17 06:21:19
6
Emiry jfr :
msukuma akiamungu umepowa akili
2026-06-17 07:48:08
2
Hemedy Hemedy :
kwel
2026-06-17 06:58:15
1
omilimo omilimo :
ni kweli kabisa siyo sawa hiyo
2026-06-17 08:19:04
1
redson m :
nikweli mungu akubalik cn
2026-06-17 08:34:58
1
Seif Moe :
Safii 💪
2026-06-17 06:36:11
1
temba :
mungu akulinde mkuu
2026-06-17 07:10:09
1
seleman^94 :
ubarikiwe mkuu🙏
2026-06-17 06:48:31
1
atanaziboy :
kweli kabisaaa
2026-06-17 06:11:35
1
A :
yaani jamani.watezi happy ila watekelezaji sas
2026-06-17 07:02:46
1
frank adriano :
respect
2026-06-17 08:18:20
0
maiko jackson :
kabsa
2026-06-17 06:11:02
1
ramadhani juma :
mungu akulinde sana kaka angu
2026-06-17 07:11:24
1
Emmanuel Mdegela :
Asanter sana kwa hilo
2026-06-17 07:01:09
1
Shafii Chakale :
muheshimiwa msukuma umetenda haki kubwa sana kututetea mkuu mungu akubariki sana mitano tena
2026-06-17 06:32:07
1
Salim :
very true kiongozi 💯💯
2026-06-17 05:40:03
1
Feisal 03# :
daaaaaaa asee kbs mkuu wangu
2026-06-17 06:06:35
1
kapesa :
nimefurai sana 👍
2026-06-17 10:07:14
0
KANYARA KATOKE :
asante king
2026-06-17 06:46:42
0
To see more videos from user @coconutfmzanzibar, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.