@hassan_mohamed_24: Kylian Mbappe ameandika historia mpya kwa kuwapiku malegend wa ufaransa huku akiwa mfungaji bora wa muda wote wa timu ya soka ya ufaransa. Mbappe kwa sasa anaongoza orodha hiyo akiwa na mabao 58. RECORD BREAKER ⚽️🥇🏆 #mbappe #worldcup2026 #hassaninhomodinho #fyp