@harry_the_driver: #creatorsearchinsights Kuna muda moyo unajaaa maumivu sana na kitu pekee, inakuwa unahitaji ni kulia tu 😭😩 Hey My Love it’s Okay to feel that way coz you are a human, ukitana na mimi kwenye @twenderide plz receive a hug and you will be fine @twenderide @twenderide Kwa sasa Twende ime spread love mpaka Mwanza, Dodoma na Morogoro #creatorsearchinsights #harrythedriver #twende #fyp
Harry The Driver
Region: TZ
Wednesday 17 June 2026 03:43:41 GMT
Music
Download
Comments
YUSCO ym :
alipe nauli kwanza ndo aendelee kulia
2026-06-17 08:33:31
351
Gift 🍭 :
Me nikiwa nalia ukiniuliza ndo nazidi kulia😂😂
2026-06-17 08:57:10
214
tony :
Depression is real
2026-06-17 12:25:59
0
Its Cathy♓️👑 :
Mioyo ya watu imejaa mengi sana 😭💔
2026-06-17 09:18:08
174
Vitalis Mugiraneza :
mshushe bhana
2026-06-17 03:51:57
73
Benayah :
apo kuna mambo haya✌️😂💔
2026-06-17 10:00:15
89
dismas gerald :
jinsi maisha yalivyo now days sitaki kujua analilia nini cha msingi alipetuu nauli.
2026-06-17 10:26:39
50
MRMM :
akuna kingine zaidi ya mapenzi
2026-06-17 06:16:53
54
uwesu🌙✨ :
lazima nimapenz tuu
2026-06-17 08:01:51
10
saidashop :
😁😅😅😅 Pole dereva
2026-06-17 14:04:09
0
lizy36 :
Love you mamii❤️❤️you are so kind💞 💞
2026-06-17 11:38:35
0
I Love you :
Hivi amekulipa lakini, maana I'm concerned. It's either ni maigizo or the other way round
2026-06-17 13:03:53
0
️ 𝓣𝓪𝓵𝓪𝓷𝓽𝓪_76🔥🇹🇿 :
Apo mwisho nimecheka kwa kweli😂
2026-06-17 08:10:15
74
Shakira Collection Arusha :
Sio kwakina ndoa huyu🥹
2026-06-17 10:23:22
13
I.am.mimubae_015 🔐💔 :
Amelia kwa uchunguuu saaan uwiii mungu wangu
2026-06-17 07:29:01
18
cute fey :
We twende bhn dada sitak ushauli😂
2026-06-17 09:08:13
13
mygreenbloom :
alie kwa sauti kwa nguvu amalize tuendelee na mambo mengine asitupotezee muda🥺
2026-06-17 07:41:56
25
kaylah mkumbo99 :
huyu dada amewah nipakia ana huduma nzur sana
2026-06-17 08:59:27
7
To see more videos from user @harry_the_driver, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.