@blandie_stores: Vanilla Voyage ni perfume ya msichana anayependa kunukia kama dessert ya gharama kubwa. Caramel iliyoyeyuka, vanilla creamy na honey tamu vinachanganyika kuacha trail ya kuvutia na ya kukumbukwa. Sweet, cozy, feminine na addictive. ✨🤍🍯🍮 #perfumetanzania #perfumegirl #perfumeaddicts #perfumelovers #tiktoktanzania🇹🇿🇹🇿🇹🇿