Mim nilikuwa na marafiki wanne wote washabiki wa Ronaldo ila sahiv uwambii kitu kuhusu Messi na mim Leo nakuwa shabiki wa Messi staki ugonjwa moyo mie 🥹🥹🥹
2026-06-17 12:18:04
42
_mosse :
kwishaaaa
2026-06-17 08:10:47
4
Willypopsmoke :
Tatizo Messi anaonekana kama anajua sana kumbe ndo anajua sana😂🙌🏽🔥
2026-06-17 13:31:04
21
isco jr :
huwezi ongea ukwel mzee messi 🐐 nisi like nisicomment wala nisikufollow mzee
2026-06-17 08:26:04
68
Joetz♓️ :
Umeongea fact mzee nakumbuka mi 2017 nilianza ghafla tuh kukubali kuwa messi ni hatar zaid nw nina furaha sina ugonjwa wa moyo tna nakula kwa wakati cna homa za ghafla ghafla na nimenenepa😁
2026-06-17 12:41:40
20
SENIOR :
🐐
2026-06-17 08:05:56
19
GB OFA :
2017 kushuka chin nilikuw shabiki w ronard but now Messi sijui why
2026-06-17 11:25:32
10
Christopher Black :
Hatimaye nimekutan na akili zangu😄😄😄
2026-06-17 12:11:30
17
msaklin :
nakubali mjomba MESSI is GOAT 😁😁😁
2026-06-17 15:17:30
6
Braz boy :
kama timu mess like hapa
2026-06-17 15:27:01
5
prospermatumla :
Unajua san mpira👏
2026-06-17 07:46:26
15
am_comodo :
Amna anaeteseka we kama umesaliti kambi tembea Ronaldo is GOAT ivo tu
2026-06-17 13:15:07
4
BROWN_THE_GREAT :
mzee wa FACTS🙌
2026-06-17 10:45:56
15
efootball manager :
ikiwa hivyo basi ronaldinho na neymar ni bora kuriko messi
2026-06-17 13:49:20
2
Trudy tr :
sanaaaaa messiiiiiiii
2026-06-17 08:05:20
5
Pilato45 :
Kbs kk messi GOAT 🐐 🫡
2026-06-17 15:16:43
2
@Humble_70 :
kak we kama mim ilibid tuu nikuvali kwamb Ronaldo ni mchezaj bora💪 kuliko wote ukimtoa messi🐐