@newfutureshop: Garment Steamer inayotumiaka hapo Ina power ya 2000W ni chaguo bora zaidi. Power kubwa Matokeo bora zaidi ✅ Power kubwa ya 2000W – Hupasha joto kwa haraka na kutoa mvuke wenye nguvu, hivyo huondoa mikunjo migumu kwa muda mfupi. ✅ Tank kubwa la maji – Unaendelea kupiga pasi nguo nyingi bila kusimama mara kwa mara kujaza maji