@mtembezi_tnz: Walituchapa bureeee😅🙌🏾 #foryourpage #viraltiktok #viralvideo #heartbroken #education

MTEMBEZI 🇹🇿✧˚₊‧
MTEMBEZI 🇹🇿✧˚₊‧
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 17 June 2026 06:48:01 GMT
45787
2470
148
331

Music

Download

Comments

allymleke.tnz
🚔 Mleke 🚔 :
Kwanza ukifuatilia vizuri wale wote waliokuwa na miandiko mizuri mashuleni ndo wanapitia magumu kwenye maisha😅😅😅
2026-06-17 10:04:01
61
dsanga61
D1 simba :
😁😁😁😁😁nina comment😳😳😏😏
2026-06-17 15:15:32
1
wazirikarim
Waziry Jr :
kuna mwalim aliniambia naandika kama bata sahii namtafuta nimpe ajira🤣
2026-06-17 18:10:36
12
sammy32520
SAMMYY :
kama coment zingekuwa zaonesha kila mmtu mwandiko,wake ungejua.faida.yakee😂😂😂
2026-06-17 12:54:48
15
oneley34
🎀Oneley🧸 :
Mm sjui ata nijib nn🤣🤣 jmn
2026-06-17 15:01:23
4
hunter_truck1
HUNTER_TRUCK🚚 :
Kwani mwandiko wenyewe unaandika wapi.
2026-06-17 12:12:37
1
safari.kessi
Mr Road trip :
Nyoosha kwenye chaki kaka mengine tuwaachie walimu maana amna sehem naandika sasaiv na huo mwandiko mzur 🤣🤣🤣
2026-06-17 12:40:12
2
glory3897
Glory :
mmmmh mi mpaka leo sielewag mwandiko wangu inategemea na nilipo
2026-06-17 12:22:37
5
salvatoryenockseli
B@d girl🌹🇹🇿 :
me mwenyew najiuliza😂
2026-06-17 13:34:29
1
moudkoffie
moudkoffie :
na asahivi hata maombi ya kazi unatuma online
2026-06-17 06:59:23
7
norees009
Only me🫂 :
Ila kweli😂😂😂🙌🏽
2026-06-17 12:29:52
1
ramadhanimashana
Baba Abdul :
aki Leo ndio nimeamini wajinga wengi wana miandiko mibaya plus life limekuwa gumu wanaanza vihoja😂
2026-06-17 13:37:33
2
eveliusvedast0
1hz forever ♥️ :
icho kipengele kilikua na stick nyingi kuliko za mwizi🤣🤣😂
2026-06-17 07:53:06
1
sijaliupunda
sijali :
shuleni ukimuona mwanafunzi mtanashati basi wa mwisho katika mtihani
2026-06-17 18:04:48
2
kuluthum611
Kuluthoom💔💘 :
Umesahau na Usafi bora viko wap sasa😂🤣
2026-06-17 20:18:09
0
angelasipiriani
Rommie🌻 :
Shukuru simu kijana ungetesekaaa mno kutongoza kwa barua
2026-06-17 12:04:57
3
mankareee
Tanzania :
na ndo maana saivi, (weka kidole gumba)
2026-06-17 12:54:08
1
kelvin_king94
kevoo :
kusain kausha damu
2026-06-17 06:50:26
2
davidseth934
DAVIS SHOP 🇹🇿 📊📉 :
mpangilio mzuri wa kazi na umakini wa kazi ya daftal
2026-06-17 16:58:34
1
babyvirah8
user13636028338448elvirayuda :
Kwahiyo unatusema sio🤩😂
2026-06-17 15:16:51
1
user45292166961816
koboko :
mwandiko mzuri bila hakili nisawa na usmart bila hela.
2026-06-17 16:56:28
3
To see more videos from user @mtembezi_tnz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About