@dr.jessy09: Kwanini watoto Nichelle’s hatua za ukuaji#PregnancyTips #PregnancyJourney #BabyHealth #parenthood

Dr Jessy
Dr Jessy
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 17 June 2026 07:53:34 GMT
101529
5059
51
449

Music

Download

Comments

ephahmuhando7
EPHAH MUHANDO :
hapa nikuanzia miezi mingapi
2026-06-17 08:17:24
5
2014dori
Odo Ester :
wangu 5.2 month hajakaa na jino 1 imeota
2026-06-17 21:13:30
1
wereopening
ZAH.choose us🌽👌 :
Asante doctor mrembo 🙏
2026-06-19 04:30:54
0
mcute4521
magdalena :
shida mwanangu hatulii jamani😊
2026-06-18 12:04:21
0
secmary2
Secmary❤️ :
Asante dr jessy🥰🥰
2026-06-17 08:05:37
3
habibadotto697
Habiba Dotto :
habar naomba kuuliza mwanangu anamiezi miwil na wiki ila anangangania kukaa je ni sawa
2026-06-17 19:24:40
0
princess.winn
princess winn :
thank u doctor
2026-06-17 12:01:38
2
nasra.masoud65
Nasra Masoud :
asant dr jessy🥰🥰
2026-06-18 13:50:36
1
officialsara067
officialsara067 :
Mi wangu yuko na 2 month anaanza kukaa hataki kulazwa
2026-06-18 04:37:54
1
maderenisubira
madesubira :
asante docta
2026-06-17 11:25:26
2
laty981
laty981 :
Baada ya hiyoo massage analala vzr sanaaa👌
2026-06-17 18:27:51
1
khadija.antoni
Khadija Antoni :
nashida dada
2026-06-18 11:44:54
0
beibz38
Moh 💙Alvin :
Asante dr
2026-06-17 19:59:44
0
user5124362615495
Johari pilpil :
barikiwa sana kipenzi🥰
2026-06-18 06:22:35
0
paisibl46
paisibl :
nauchuhuda mimi mganga kawaii massage asante imemusaidiya mwananguu
2026-06-18 13:43:34
0
user6134135242696
Mama@4 :
🥰🥰 Jamani Wewe Dada Allah akulipe kher 🤲
2026-06-17 15:05:45
5
hamisa062897
bi fatuma :
Asante sana 💙💙💙
2026-06-17 11:56:51
1
shery.nekesa
Shery Nekesa :
unafanya ivio kwa mda gani
2026-06-17 12:33:52
1
user51147704839
Blesseddorca@22 :
wangu ana mwezi nne na hajaketi bado
2026-06-17 08:53:32
2
user301081424760
user301081424760 :
mimi wangu ana miezi 7 hatambai wala hajaota meno
2026-06-17 09:05:43
1
officialmommelvin
Official Mommelvin10 :
mim ana miezi Tisa ila Bado ajatambaa nifanyaje jaman ila anasogea na makalio
2026-06-17 08:44:11
2
user4949435284368
supar women :
dr jessy znz unakuj lin furah yngu nikuone tu dr we2 mpendwa 🥰 alaf naomb unijib swal lngu kuna maaz ya w2 wanatoa dawa za mapacha je ni salama? na uhakika unapat mimb ya mapacha?
2026-06-17 09:23:09
2
rebysilas
momy G :
asnte dr mafunzo yako yalinifany nikajifungua vizur na mwanangu anaendelea vizur sas ana miez 4 na wiki 1
2026-06-17 10:09:21
1
alfred_john2
Alfred John :
Mtoto wetu wa miezi 3 tukijaribu kumfanyia massage hataki analia sana😁 tufanye nini Doctor?
2026-06-17 12:45:49
1
To see more videos from user @dr.jessy09, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About