@siasatz: "Huko ni kutaka kumdhalilisha Rais wetu ambae amejenga vituo vya afya, Hospitali na zahanati. Huduma za afya na miundombinu inatosha kuwafanya Watanzania watibiwe kwa kiwango kikubwa. Tusidhalilishe uwekekezaji alioufanya Rais Samia".- Kingu 🔈 _ Subscribe YouTube siasatz30 #SiasaTZ #SiasaZetu #TheShepherd30

siasazetu
siasazetu
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 17 June 2026 09:11:57 GMT
20102
540
153
10

Music

Download

Comments

delterforces
bad boy :
Zanzibar matibabu bure bongo yanalipiwa kaka elewa kiliyo chao
2026-06-17 10:15:54
12
ahmededdie1
user2639496477361 :
Tatizo zanzibar bure huku tanganyika kwa pesa waeke bure kama zanzibar
2026-06-17 10:52:50
5
iallando
Notorious :
mbona wnapindisha mambo? hoja ni watu kutoka Tanganyika pia wanastahili kupata huduma zanzibar,akili za wabunge ni ndogo sana,hakuna mtanganyika anaetaka kwenda kutibiwa Zanzibar ila wanahoji inakuaje mtanganyika aliepo Zanzibar asitibiwe huko bila kutoa kadi za mkaazi wa Zanzibar.?
2026-06-17 11:16:29
2
aluayuub
aliayuub :
zanzibar matibabu ni bure kwa wananchi wake
2026-06-17 10:52:16
4
cheela.umaar
Cheela Umaar :
zanzibar ma daktari wako wapi? wenhi wao wanakuja dar kutibiwa
2026-06-17 12:14:58
1
sayyedmiskir
Kombo Ali Machano :
kwani ni Uongo hawaji vichogo kufata matibabu zanzibar maana hili limewauma hebu njoonii
2026-06-17 14:50:17
0
rahmahameyr
rahmahameyr :
tatizo mnawalipisha Zanzibar bure
2026-06-17 10:45:38
3
steven.steven921
Steve mkweli :
tatizo ni gharama,znz huduma bure
2026-06-17 11:17:22
2
hussein.suarez6
Hussein Suarez :
Mbona yule aliyekuwa mbuge kess kaeleza vizru tu kwamba afya si jambo la muungano
2026-06-17 10:57:09
3
ashukessygmail.com3
ashukessy :
kwani watanganyika wanaenda wore huko
2026-06-17 10:58:31
2
mtoto.wa.marehem4
mtoto wa marehem :
wanasiasa ndio munaiharibu hii nchi mnapenda kukuza mambo
2026-06-17 11:24:56
1
mussa.masudi.kapa
Mussa Masudi Kapama :
kwanza hizo hosptar zenyewe hakuna hisptar kubwa ipo moja tu
2026-06-17 10:58:38
2
neyphat.kabir
Neyphat Kabir :
ivi kweli nauli 80 go and return yote kutibiw bure 😁😁😁ivi kweli wapo
2026-06-17 10:03:39
4
zanzibar.great.ag
Zanzibar great again. :
ila watanganyika ni mazuzu isipokuwa mwambukusi na lisu tuu 😅
2026-06-17 10:40:29
5
user9455394500177
alex :
Huu muungano wa na watu wazanzi ni kama kuleta kinyoka kidogo kizur nyumbni ukifikiria kuwa umemsadia. Kadiri siku zinavyokwenda kinyoka hiki kinazidi kukua na hatimae litakuwa lijoka na kummeza aliemuthiri kumlisha na kumtunza N swala la muda tu ila hakuna jema mtawafanyia hawa watu wakahisi mmewafanyia jambo la maana, wataendelea kulalamika na ipo siku watajitoa na wala sio mbali. Ingekuwa busara wakaachwa sasa hivi wapambane na hali yao.....maana wakati mwingine huwezi kujua thamani ya ulichonacho hadi KIKUONDOKE
2026-06-17 09:32:51
1
anduru147
am14578 :
sahihi kabisa huyo waziri wa Zanzibar kandhalilisha Raisi Samia kuwa kwao Zanzibar kuko vizuri huduma za afya kuliko Tanzania bara kama huku bara hakuna Raisi kafanya.Wakati kajenga hospitali nyingi nzuri kibao nzuri kuliko hata hospitali yao ya mnazi mmoja Huyo waziri aombe msamaha haraka kudhalilisha Raisi Samia na kumjengea chuki kwa watanzania bara waone kama kaboresha zanzibar kuliko bara
2026-06-17 10:00:03
1
alisaid1034
its Mohd✌️🔥 :
kujenga vituo si kazii😂 je hiyo huduma ni bureeee kama zanzibar 😂😂
2026-06-17 10:06:17
2
calture4
calture :
mbona sisi wazanzibar Tanganyika tunaatibiwa kwa pesa hatulalamiki Zanzibar nyumbani tunaatibiwa Bure kwa bajeti yetu ya afya Tanganyika hakuna Cha Bure mura ndio maana dugu zetu wanatokea povu ukiona mzanzibar aanafaataa matibabu bongo ujue anapesa yake siharamu kufataa matibabu kwa pesa yako
2026-06-17 15:05:04
0
ibrahim.jeba
Ibrahim Jeba :
tukubali tukatae kinachoiponza nchi hii nikua voingoz wake ni mambumbumbu
2026-06-17 09:53:02
6
bekkah316
bekkah :
kwani rais samia anaongoza tanganyika au tanzania na je tanganyika ndio tanzania yenyew kama Tanzania ni pamoja na zanzibar hospital za muungano ziko wapi kule zanzibar maana zilizokuwepo ni za zanzibar
2026-06-17 10:46:50
2
ibrahim.jeba
Ibrahim Jeba :
Aaah huyu nae hili ni suala la kikatiba au watu hao wanaotok mataif ya mbali hujakutibiwa tz hutibiwa Bure au
2026-06-17 09:52:05
1
guramali.abbas
Guramali Abbas :
Hii mijamaa sijuwi imelogwa aise 😭
2026-06-17 09:49:39
2
mohd.juma25
Mohd Juma :
Chawa
2026-06-17 09:53:35
3
zanzibar_canada_boy
car :
hongeraaa sanaaaa
2026-06-17 09:56:41
1
nyinya.100
Nyinya %100 :
Nimeona eight buttons suit
2026-06-17 14:10:33
0
To see more videos from user @siasatz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About