una yaachaliaje mweee anae weza anisaidie kiundan sana
2026-07-12 17:57:54
8
Matth Luta :
Ilichukua muda sana kuachilia kwa machozi ila Bwana hakupunguka siku moja usiku sauti inasikika " Sitawaacha ninyi Yatima" hilo ni andiko. Tujifunze kumtegemea Mungu hususan kwenye kipindi kama hicho cha maumivu