@shambashine: Call0658019731 bei ni shilingi elfu 60 Punguza matumizi ya maji na ongeza uzalishaji wa mboga zako kwa kutumia mfumo wa umwagiliaji wa matone (Drip Kit). Mfumo huu husambaza maji moja kwa moja kwenye mizizi ya mimea, hivyo kuokoa maji, muda na nguvu.

Shambashine
Shambashine
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 17 June 2026 10:31:24 GMT
14824
368
18
69

Music

Download

Comments

official.july14
@official July14 :
safi sanaaa
2026-06-17 22:11:24
0
mumo.kima
Mumo Kim :
Niko Nairobi nitapataje?
2026-06-17 20:39:40
0
imani.innocent
Imani Innocent :
Nice project
2026-06-17 11:45:15
0
kido29197
kido :
namba
2026-06-17 19:41:01
0
issamshana3
issamshana3 :
safi
2026-06-17 19:17:04
0
elizabethfumbuka2
zabe :
kazi nzuri sana🥰
2026-06-17 18:11:37
0
fridanchimbi
Frida Nchimbi :
Nahitaji
2026-06-17 16:35:14
0
happytemba04
Ms.Happy :
Nipo kibaha maili moja nawapataje
2026-06-17 17:48:27
0
user5433961448304
marry :
Naomba unielekeze jinsi ya kupanda spinachi kwenye mifuko ya cement
2026-06-17 17:04:38
0
samson.mathias2
Samson Mathias :
sijaelewa mfumo mzima ni elfu 60? morogoro mjini sehemu gani hapo
2026-06-17 16:26:29
0
tayo8665
awadhi kipenzi :
maji utakayo mwagia humo unyefu wake unakaa baada ya siku ngap
2026-06-17 13:28:02
0
gladys_duciel
Kingdom_Oven :
nautaka huo mfumo huku mwanza
2026-06-17 15:01:19
0
user7692614303814
3702 :
namba
2026-06-17 12:42:46
0
aludomakori
Aludo Makori :
elfu 60 ufundi na hiyo mipira inaweza ikagharimu kiasi gani?
2026-06-17 18:41:25
0
rahimaramdan953
rey :
mi nahitaji
2026-06-17 13:00:00
0
g.kids18
G kids :
safi sana haya ndo matunda ya kusoma nitakutafuta nikiwa nimesettle
2026-06-17 11:36:06
1
pulosuma
sumito :
nimeipenda hiyo
2026-06-17 15:34:57
0
mumo.kima
Mumo Kim :
mfumo wote ni sh.ngapi?
2026-06-17 20:38:47
0
To see more videos from user @shambashine, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About