@lovepoem69: Kama mwanadamu naamini sijakamilika mpenzi wangu, Kuna wakati nakukwaza nakukosea haimanishi kwamba Kila kosa Huwa nakusudia kulifanya kwako hivyo mtu pekee wakunifanya kujihisi mkamilifu ni wewe maana nahitaji kuonywa na kufunzwa zaidi na wewe sababu Mimi bila wewe Bado sana darling ❤️ . . . #tiktok #trendingsong #uhakika #goviralnow #foryourpage @Ibuuhd. backup @K2 Entertainment

Ibuuhd ✍️..
Ibuuhd ✍️..
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 17 June 2026 10:43:43 GMT
6574
207
1
55

Music

Download

Comments

lovepoem69
Ibuuhd ✍️.. :
#hii Sasa ikufikie ma queen 👑, miaka mitatu Sasa mama watoto usiondoke bhn Bado nakuhitaji sana coz I love you 😘, nakukosea naenda tofauti na vile unataka lakin elewa ukamilifu wangu unatokana na wewe ma mtu usinichoke tafadhali maana kwako nakuwa mkamilifu sana tofauti na hapo siwezi kwingine ❤️🌹🕊️
2026-06-17 10:53:40
1
To see more videos from user @lovepoem69, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About