@dadamuuzauremboarusha: 📍TUPO ARUSHA GOLDEN ROSE KARIBU NA KILIMANJARO BUS SISI TUPO NDANI YA GOLDEN ROSE HOTEL 🏨 UKIFIKA NJE PIGA SIMU BOSS WANGU USITUME SMS ❌ DELIVERY 🚚 TUNAFANYA MIKOANI TUNATUMA KARIBUNI SANA MATAJIRI ZANGU 🛍️ NAMBA ZIPO KWENYE BIO ☎️ #everyoneシ゚ #dadamuuzauremboarusha #engagementring #foyoupage #girlessentials
🍒DADA MUUZA UREMBO ARUSHA 🛍️
Region: TZ
Wednesday 17 June 2026 10:48:47 GMT
Music
Download
Comments
rayu said salum :
kwenye box zinakuwa ngapi
2026-06-18 08:55:09
0
Ummy King :
uko wap
2026-06-18 07:19:32
0
Einoth Emmanuel :
sehem gani
2026-06-18 05:19:50
0
samhajm2 :
mnatuma Zanzibar 🥰
2026-06-18 07:01:34
0
Rich Aunt Lissah 💰❤️ :
Niko mwanza napataje
2026-06-18 08:07:22
0
shenury_totoshop :
tunakupataje?
2026-06-18 06:29:11
0
loveness :
Watu wavivu wa kusoma caption dar unatuma kwa bas gan
2026-06-18 07:44:54
0
Gee🦋🥰 :
naomba no zako
2026-06-18 07:09:07
0
Dathy💞💞 :
Mpo wap??
2026-06-17 19:31:22
0
JATWAM FARM :
nipe namba
2026-06-17 22:20:00
0
loveness :
ya ndoa na egijiment ambazo zipo pamoja nitapata
2026-06-17 11:34:41
0
lyzejohn :
nitakuja kuchagua, aseee nzuriii
2026-06-17 12:33:59
0
Mrs hero :
Nikivaa nita jichuria nitaonekana ni mchumba wa mtu hata akija sahih atasita stak bhn 🙌😄🚶
2026-06-18 10:03:22
0
Ms YvetteAn :
Zina size?
2026-06-18 08:50:32
0
🧸🌸 Anti Gee 🎀🫧 :
🤭🥰
2026-06-17 12:38:04
0
To see more videos from user @dadamuuzauremboarusha, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.