@bbcnewsswahili: Victoria Mkwizu, mkazi wa Tabata, amejifungua watoto watano kwa wakati mmoja katika uzazi adimu uliofanyika tarehe 13 Juni 2026. Je, safari ya Victoria ilikuwaje hadi kufanikisha kujifungua watoto watano? Tazama video hii kujionea simulizi kamili ya tukio hili la ajabu na la kugusa moyo. #bbcswahili #fyp #fy #foryou #afya #ujauzitowamapacha #tanzaniantiktok🇹🇿 #mapachawatano
bbcnewsswahili
Region: TZ
Wednesday 17 June 2026 11:04:43 GMT
Music
Download
Comments
D.a.v.i.e.1 :
Najiuliza mapacha wawili ni twins ila mapacha 5 na hisi waitwe twano
2026-06-17 19:06:15
14
chweet jojo😋 :
kipenzi tunaomba namba jmn. tufanyike baraka kwa watoto hata kwa maziwa tu 🥰
2026-06-17 12:15:43
79
jamilasimoni095 :
hongera sana😘😍😍😍
2026-06-17 19:29:11
0
monie paul :
Wanasimba baraka ndio hizi
2026-06-17 12:45:21
21
HAMISS :
mungu nipe ata mmoja tuhhhhhh
2026-06-17 11:09:17
13
Junior mjubatz :
ongera sana mama🥰🥰🥰
2026-06-17 11:08:38
14
Mimah :
Tumbo lako libalikiwe hakika mungu mkubwa kwa kukupatia uzao mkubwa kwa wakati mmoja, hongera sana mwanamke mwenzangu
2026-06-17 18:38:11
4
Eunice Wairimu 🇨🇦🇨🇦💕💕 :
Canada 🇨🇦 kazi zipo njooni 🥰🥰
2026-06-17 13:15:30
2
Dhia muhammad :
Yaani hapo huzai tena
2026-06-17 11:33:19
12
Hillal pili❤️🩹🇹🇿🛍️💵 :
ukistajabu ya wema sepetu utaona ya huyu mama mungu ni mwema
2026-06-17 13:31:33
8
vickys083 :
ungera sn Twn Wang 🥰 mungu awakuze salama watoto wako
2026-06-17 16:19:56
4
IKA🤍🧸🎀🌸🧋 :
nahitaj nambaaa nichangie chochote🥰🥰🥰
2026-06-17 19:06:44
2
user18635142672816 :
wewe sasa ndo whozu part 2 kudadekiiiiii hongera baba
2026-06-17 16:28:47
6
kiz daniel401 :
the guy with the magic.........
2026-06-17 14:47:24
1
Daya, Maher 💪❗ :
waaaoh 🥰🥰🥰
2026-06-17 18:17:23
1
Richie :
Hapo ligi imeisha
2026-06-17 13:12:21
2
Miohlic🐇 :
my rolemodel😊😊😊
2026-06-17 16:32:41
0
stoner_ :
Anaye mtegemea Mungu tu kama mm tia like yko kwa heshima
2026-06-17 11:11:13
7
oojaah@254 :
baraka kwa mola
2026-06-17 11:36:05
3
Salva Son :
Hongera sana🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2026-06-17 12:05:00
2
elinasasanga :
mwanasimbaaaaa
2026-06-17 19:23:23
1
Dzedone :
Hongera sana. Huku Kuna mama manunu
2026-06-17 17:57:36
1
boss lady soon :
ndaa ndoto yangu kbs hongera sana kweli
2026-06-17 13:01:44
1
kichwachataifa :
nilikuwa na followers 5000 😳😳 nan kani unfollow 😢😢😢
2026-06-17 18:09:45
1
To see more videos from user @bbcnewsswahili, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.