@islamtvbuhari: #allah❤️🥀🥀🌹🌹allah #allah❤️🥀🥀🌹🌹allah

꧁࿇Harun࿇꧂
꧁࿇Harun࿇꧂
Open In TikTok:
Region: TR
Wednesday 17 June 2026 11:09:19 GMT
6997
274
2
17

Music

Download

Comments

edibe3a_
edibe3a :
🤲🤲🤲
2026-06-17 12:07:33
0
melek.nur.1994
meleknur hafiz :
🙏🙏🙏
2026-06-18 11:32:29
0
To see more videos from user @islamtvbuhari, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

Bungeni: Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesisitiza kuwa Tanzania Bara na Zanzibar hazipaswi kuingia katika mgawanyiko kutokana na mijadala inayoibuka kuhusu upatikanaji wa huduma za afya kati ya pande mbili za Muungano. Dkt. Nchemba ametoa kauli hiyo bungeni wakati wa kipindi cha maswali ya papo kwa papo kwa Waziri Mkuu, akijibu swali la Mbunge wa Segerea, Agnesta Kaiza, aliyetaka kufahamu utaratibu wa kisera unaotumika kuwahudumia wananchi wa Tanzania Bara na Zanzibar katika sekta ya afya. Akijibu swali hilo, Waziri Mkuu amesema masuala mengi yasiyo ya Muungano yamekuwa yakitekelezwa kwa ushirikiano kupitia wizara za kisekta za pande zote mbili za Muungano. Ametolea mfano sekta ya bima ya afya, ambapo wananchi wenye bima kutoka upande mmoja wa Muungano wanaweza kupata huduma za matibabu upande mwingine kwa kutumia kadi zao za bima, ikiwemo ZHIF na NHIF. “Ukiwa na bima ya afya ya upande mmoja wa Muungano unaruhusiwa kutibiwa upande mwingine kwa kutumia kadi hiyo. Bila bima, mgonjwa atalazimika kulipia huduma kwa fedha taslimu,” amesema Dkt. Nchemba. Amefafanua kuwa kilichozua mjadala wa hivi karibuni ni utaratibu wa Zanzibar wa kuwapatia huduma za matibabu bure watu wasiojiweza, ambapo baadhi ya watu wamekuwa wakitafuta kadi hizo kwa njia zisizo halali. “Wapo watu wanaotafuta kadi za kutibiwa bure kwa njia za kinyemela, na baadhi yao si Wazanzibari wala Watanzania, bali wanatoka nje ya nchi,” amesema. Kutokana na hali hiyo, Waziri Mkuu ametoa wito kwa wananchi kuepuka tafsiri zinazoweza kuibua mgawanyiko, akisisitiza kuwa Watanzania wote ni wamoja na Muungano unapaswa kuendelea kuimarishwa.

About