@landfyproperty_coltd: Watu wengi wamepoteza kudhulumiwa ardhi zao kwa kudhani kuwa "Mkataba wa Maandishi" pekee unatosha kuwapa usalama wa kudumu. Kumbuka, bila kufuata taratibu kamili za kisheria na usajili, ardhi yako inaweza kuuzwa tena na ukajikuta huna Linda uwekezaji wako leo. Wasiliana na Landfy Property Company Limited kwa ushauri wa kitaalamu wa uwekezaji na ardhi. landfyproperty_coltd# #landfyproperty_coltd #fyp #propetyinvestment

Landfy Property Company LTD
Landfy Property Company LTD
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 17 June 2026 11:52:43 GMT
317957
11909
176
3797

Music

Download

Comments

jeremiahoscarmwan
KingKong :
Shida hao watendaji wa ardhi
2026-06-18 04:32:20
45
de_nikab1
de_queen❤️ :
Sasa Kama mtoto ndo umenunuliaaa na hana chet
2026-07-27 10:36:08
0
jafariismail
Jafari Ismail :
mwanza mnapatika pia
2026-07-27 19:58:25
0
princesslora70
princesslora70 :
Asante acha nifanye hivyo
2026-06-18 07:13:11
6
mamutz389
Da Mamu🥰 :
nachoka mm
2026-06-18 05:41:46
5
rahiyan81
rahiyan :
gharama za hati zipoje
2026-06-18 05:34:33
5
unyama8
user5062639008791 :
geita mpo sehemu gani
2026-07-24 21:35:24
0
pass.jill.5
Pass :
mbna ni mzuri sana, yaan sijaelewa hata ulichoongea
2026-07-31 09:49:38
1
user7203745606084
Money :
Naomba kufahamu ikiwa kiwanja kimepimwa na mmili akakuuzia kipande cha eneo je naweza kupata hati ya hicho kipande,na je ikishindikana nn nifanye ili niwe salama na eneo langu
2026-07-23 10:34:11
0
muba.mziguq
muba mziguq :
hiy kaz siwez bora nisijenge mana hata nikijenga nitambiwa eneo langu limeuzwqq
2026-07-25 10:14:42
0
jiresimalisel548
Jiresi Malisel :
mimi kwenye pesa zangu sitaki mambo mengi wala mizunguko
2026-06-18 19:28:07
5
mafundi.umeme.ubu
mafundi umeme ubungo :
ha mkoa wa pwani mpo sehemu Gani..
2026-07-14 10:39:17
0
kevoochonjo0
Kelvin :
mwanza office zipoo wapi
2026-06-18 15:08:23
1
iposikuspareparts
iposikuspareparts :
mnqpqtikana wapi
2026-07-20 10:31:37
0
user6725170220780
Joseph abel mwaikugil :
dar es salaam mko wap
2026-06-21 02:54:47
0
lacksonlukumai
Lackson Lukumai :
dodoma sehem gan na ni hatua gan nafuata kupitia nyie
2026-07-21 20:39:24
0
saidjohnshindika
Said John Shindika :
asante kwa elimu
2026-06-18 18:32:33
1
mafundi.umeme.ubu
mafundi umeme ubungo :
eneo lipo Boko mnemela (mtendeni) je .....upande wa uko garama sh ngapi
2026-07-14 10:37:35
0
tatu.said50
Tatu Said :
asante sanaa
2026-07-12 14:34:18
1
prof5930
Prof :
Mnafanya nchi nzima
2026-06-18 08:33:19
1
vanny_tasher
Promax :
mtu anaeleza vitu vya msingi lakini anafunga post yake isiwezekane kudownload
2026-06-20 14:24:49
1
gos.hub
GOS HUB STORE :
zanzibar mupo
2026-06-18 07:17:56
3
landfix.auction.ma
Landfix Auction Mart &Brockers :
sawa bosi
2026-06-18 10:44:33
3
user4385660071098
SHUKURANI GAUDI :
gharama ni kiasi gani kwa Morogoro. nahitaji huduma hii
2026-06-18 04:03:41
3
hellen.kakore
Hellen Kakore :
asante dada yangu😊☺️
2026-06-18 13:54:47
2
To see more videos from user @landfyproperty_coltd, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About