@mwl.emilian.katub7: Amini ya kwamba Bwana atakufanyia njia Wana wa Israeli walipofika bahari ya Shamu mahali ambapo hapana njia na nyuma yao watesi wanakuja Moyoni walijua ndio mwisho wao lakini kwa Mungu ulikuwa ndio mwanzo wao wa kuona mkono wa Mungu wenye nguvu ukiwatetea Mungu alifanya njia wakavuka Nimetumwa kukwambia na wewe unaesoma ujumbe huu kwamba Bwana atakufanyia njia tu

Mwl Emilian Katubayemo
Mwl Emilian Katubayemo
Open In TikTok:
Region: KE
Wednesday 17 June 2026 12:00:12 GMT
58827
7367
387
405

Music

Download

Comments

immaculateaseka
Immah :
naamini mungu anatengeneza njia kwa ajili yangu mateso ni mengi
2026-06-17 15:14:37
29
mek.official2
Martha cute :
naamin mungu anatengeneza njia kwenye maisha yangu naamin anaenda kutenda jambo kwenye maisha yangu ndani ya mwezi huu wa 6
2026-06-17 16:02:32
15
faith.medza3
Faith Medza :
Ameen..... am 100percent sure that God is making a way for me
2026-06-17 18:51:00
3
agnesspete
da aggy😍 :
najua bwana anatengeneza njia kwaaajili kweny maisha yangu🙏🙏
2026-06-17 17:25:18
14
mamajackvitambaa
MAMA JACK VITAMBAA :
Mungu wetu ni mwaminifu ananitengenezea njia kwaajiri
2026-06-18 07:25:53
3
user693803492097006
marceline :
Amen amen je suis
2026-06-18 05:17:43
0
leonardkibor1
Edina lenny :
naamini bwana anatengeneza njia kwa maisha yangu 🙏🙏🙏
2026-06-17 15:33:50
6
maryabel2
Abel Daughter ♥️ :
AMEN 🙏 ..Najua bwana anatengeneza njia kwa ajili yangu maan yeye ni Mchungaji wangu 🙏 na hatoniacha katika nyakato zote
2026-06-18 05:21:58
1
j.u.l.i.e_4
julie :
Amen Amen Amen Amen 🙏🏾
2026-06-17 12:04:09
0
user9319327368776
rosechacha :
Amen and Amen 🙏🙏
2026-06-18 07:34:05
0
user2869713275586m
🥰💪mamayao047 :
Niko n Imani bwana anitegeneze njia 🙏 KW maisha yngu
2026-06-17 21:03:30
1
shukran0679
shukran :
Amen najua bwana unatengeneza mengi kwa ajili yangu tena kwa wakati sahihi ambao sijategemea
2026-06-17 13:01:50
2
noreen8466
Noreen :
Naamini Bwana anatengenez njia Kwa ajili yangu
2026-06-18 03:28:02
1
juliethjames679
Jullove23 :
ameni
2026-06-17 12:10:31
2
jackline6115
Jackline :
AMINA 🙏🙏🙏🙏
2026-06-17 12:38:57
0
martha.fredy51
martha fredy :
Amina
2026-06-17 13:21:01
0
chance12049
chance12 :
amen amen pasta 🙏
2026-06-17 12:22:45
2
margret.an
Margret An :
Amen and amen 🙏🙏
2026-06-18 03:51:36
0
user36158402613008
dald :
Naamini kuwa Bwana anatengeneza njia kwa ajili yangu
2026-06-17 19:21:13
1
pendo6226
Kagisa D :
Amen 🙏
2026-06-18 10:17:11
0
esmoh15
Esmoh :
mungu naomba tengeneza njia na kwangu🥰🙏
2026-06-18 10:16:24
0
user9574297562577
Solange :
amen âmen
2026-06-18 10:13:38
0
daemy49
daemy :
Amina🙏
2026-06-18 10:12:54
0
user668070797279melissa
😘it'sMoraa🥰🔥 :
amen
2026-06-18 10:11:15
0
shosho.wa.my
0000000000000 :
Amen and Amen 🙏
2026-06-17 12:51:08
0
To see more videos from user @mwl.emilian.katub7, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About