@monny594: *TRACTOR NDOGO SECOND HAND - BEI YA MFUKO WA SHATI 🔴🚜* *Bei: Tsh 3,333,000/= tu* Tractor ndogo, nguvu ya kufanya kazi zote shambani kwa bei ya mkulima wa kawaida. Second hand hali safi, tayari kwa kazi *Vigezo:* - *Ukubwa:* Tractor ndogo, rahisi kuiendesha na kuhifadhi - *Kazi:* Kulima, kuvuta, kupalilia, kusafirisha mazao - *Engine:* Nguvu ya kutosha shamba dogo na la kati - *Tairi:* Kubwa, inashika ardhi vizuri - *Matengenezo:* Bei nafuu, vipuri vinapatikana kila mahali *Ujanja ni malipo* - Weka oda sasa, kilimo kisikungojee 💪 *Wasiliana & Oda:* *Piga/WhatsApp:* 0745806240 / 0768518517 *Piga/TikTok:* 0766224724 *Location:* Makongo Juu - Mti Pesa, DSM *MALIPO:* *Lipa Namba Voda:* 36738897 Jina: Chimbo kila kitu enterprises *Lipa Namba Airtel:* 654491661 Jina: Chimbo kila kitu enterprises *Lipa Namba Yas:* 437056524 Jina: Chimbo kila kitu enterprises *Follow Kwa Ofa Za Mashine Za Kilimo:* *Insta:* @Chimbokilakitucompany *TikTok:* @Chimbokilakitu _Karibu kuweka oda - Anza kilimo cha kisasa kwa bei ndogo_ #fyyyyyyyyyyyyyyyyyyy #fyp #viral #foryou
CHIMBO KILA KITU COMPANY
Region: TZ
Wednesday 17 June 2026 12:34:39 GMT
Music
Download
Comments
Pm f :
Humu kuna wataalam wa kilimo na mechanization, so unapo market bidhaa ujue kuna watu wanaelewa unachosema kina uhalisia na ukweli kiasi gani, taja model, power, nk
2026-06-18 13:28:36
1
nashoni117 :
mbn umevaa kama vile unajiuza
2026-06-18 08:23:40
3
Liberatus Mziray :
am blind in color naona tractor mbili😁
2026-06-19 06:50:19
1
Mr pikipiki :
hiyo bei ni mpak dsm au
2026-06-19 10:08:29
0
christina wolter mushi :
kuyy
2026-06-19 20:13:11
0
Eng shao :
calibration
2026-06-18 17:26:28
0
user2222606812132 :
dare Salam ofisi ziko wap
2026-06-18 04:41:58
0
tinolino :
izo kiki tu mtu ajibu
2026-06-18 04:50:57
0
abelsimon615 :
hujui kitu
2026-06-18 16:19:12
0
moses :
Iko wapi hapo
2026-06-18 23:01:49
0
Paul Miteda :
makalio yako bei gani
2026-06-18 14:35:33
0
Ontarget Safari :
Taja details za tractor watu waelewe
2026-06-18 20:34:39
1
user2487008128756 :
Me naona kama unafanya joking?
2026-06-18 18:41:05
0
Gndure :
unajembe la trector 135
2026-06-18 07:43:36
0
Elijah Meshack :
traaaapli
2026-06-18 18:46:26
0
Dylanic :
AVAE VIZURIII ANAKAA UCHI SANA
2026-06-18 17:18:35
0
christina wolter mushi :
jljhhjhhh
2026-06-19 20:13:00
0
christina wolter mushi :
oh gi
2026-06-19 20:11:24
0
Clever niger :
kwaiyo hapo ndy umevaa vizur
2026-06-20 14:52:46
0
Mr Mose :
bei izo mmmh
2026-06-18 06:57:42
0
Darasa 360 Academy Africa :
Eleza Power (hp) na ni 2d or 4d sio maneno mengi hlf hakuna kitu
2026-06-20 07:42:52
0
Lemasai :
Katika kuielezea bidhaa hizo ni vema ukaitaja jina la tractor na ni HP ngapi kwa sababu tractor zinauzwa/zinanunuliwa kutokana na HP
2026-06-18 07:03:40
0
@Olody :
duuh trekta bei ya pikipiki 😁😁😁😁😁 HUJA NIIBIA
2026-06-19 08:21:00
0
Puttin :
Unaweza kulima ekari Moja bila kuitupa?
2026-06-18 12:16:20
0
To see more videos from user @monny594, please go to the Tikwm
homepage.