@openonlinemedia: Mama aitwae Victoria Mkwizu amejifungua watoto watano kwa wakati mmoja katika hospitali ya Muhimbili jijini Dar es Salaam.#openmediaupdates

Open Online Media
Open Online Media
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 17 June 2026 12:50:34 GMT
250997
7575
255
349

Music

Download

Comments

kim..frida
Ney lee💕 :
Usisahau kuwa mume wake ni shabiki wa simba 😁🥰🥰
2026-06-17 18:46:40
51
user71733456725691
Tinah@ :
pole ila ongera sana mungu akupe uwai uwatunze
2026-06-17 18:10:35
50
jeff6yanga
jeff6 :
ooh God bless you
2026-06-20 09:34:15
0
graceousofficial
graceous :
Habri Mama naomba mtoto mmoja jamani nipo kawe
2026-06-18 07:51:17
6
mathaamathaasadic
matha sadick :
najiungamanixha na hizo balaka namm mungu ajibu maomb yangu
2026-06-18 06:42:17
9
meryjoseph949
meryjoseph949 :
mama honger mungu akubali jamni mungu yupo pamoja nax
2026-06-18 14:18:43
7
grace.thobias6
Grace Thobias :
hogera,sana
2026-06-19 10:28:47
1
user11773216155204
pendo Emmanuel :
mungu akutunziee ❤️❤️❤️hongela sana❤️
2026-06-18 13:43:14
4
modestus.mlobezi
MODESTUS MLOBEZI :
Hongera sana Mungu akupe afya Njema
2026-06-18 22:49:01
2
halimaosward168
Halima Osward :
pole na hongela mam angu
2026-06-18 15:10:53
2
mrsahmeid5
🦋PRETY GIRL🦋🇹🇿 :
mungu akulinde my ule watoto wako watakusaidy badae shida saivi tu pole😘😘😘😘😘😘😘😘😘
2026-06-18 19:50:18
5
loice.mwakaje
Loice mwakaje :
hongera
2026-06-19 16:30:43
0
latifafaustin
juchuda huda :
mungu na mm unione
2026-06-17 18:33:08
6
respishia
resy :
hongera sana jaman
2026-06-17 19:05:17
2
safina.twaha
Safina Twaha :
Mashaallah 🥰
2026-06-18 13:49:47
1
user9092546653669
MAR😍 :
😇🙂😝hongera mwaya
2026-06-18 21:10:57
0
user56192602403271
masharoni :
hongera
2026-06-18 17:36:20
0
zanadi58
user4412827305205gift :
ongeea my dear🥰
2026-06-18 11:45:00
0
janeth_outfit_store
janeth_outfit_store :
Amen najiambatanisha na hizo baraka 🙏👏👏❤️❤️❤️
2026-06-18 06:39:26
18
joankyaka6
joan kyaka :
Mungu ni mwema
2026-06-17 19:04:05
1
hamisi.balqis
ابو بلكس سلف :
mashallah tabaraka rahman ❤️
2026-06-18 11:18:04
1
devijoseph047
Davidjoseph :
mungu akusaidie
2026-06-17 19:05:34
1
aminaaa4077
Aminaaa :
mashallah 🤲🤲🤲🤲
2026-06-17 19:13:49
2
cosmeticsperfume67
cosmeticsperfume67 :
Hongera 🥰pole pia
2026-06-17 19:09:43
2
.mariamsalehsaidy
Mariamsalehsaidy :
hongeren sanaaa mwenyezi mungu awatunze muweze kuwalea
2026-06-17 19:12:35
4
To see more videos from user @openonlinemedia, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About