@thebusinesstalk: Maarifa ni ndiyo taa ya akili yako... Akili yako inaweza tu kuona umbali sawa na maarifa uliyonayo.... Akili yako inaweza kutafsiri mazingira yako yana fursa au hayana... Kulingana na taarifa ulizonazo. #unlockingpotentials #creatingvalue #creatingwealth #empoweringpeople #servingJesus