@comfymum_: Je, wajua? Kama mtoto wako amezaliwa na kitovu kikubwa (Umbilical Hernia), usiwe na wasiwasi. Comfymum Umbilical Hernia Patch imetengenezwa kusaidia kushikilia kitovu kwa usalama na kwa uvaaji wa starehe kwa mtoto.

ComfyMum
ComfyMum
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 17 June 2026 13:32:42 GMT
61860
825
80
413

Music

Download

Comments

imeldamoana
❤️ :
siku hz uzaz umekua rahis sn jmn zaman tulikua tunafunga sh 200😀
2026-06-17 23:02:05
10
naomie9491
Naomie🥂❣️ :
na kitovu kitarud ndani?
2026-06-17 15:07:43
2
mayah_collectionstz
Mayah_Collectiontz :
How much?
2026-06-18 15:08:51
0
ashraf.tarq6
ASHRAF TARQ :
mimi wang ana mwaka na nusu alizaliwa na kitovu kikubwa kama kuna uwezekano wa kunisaidia naomba nisaidie
2026-06-17 19:18:09
1
saphinia.kamba8
Saphinia Kamba :
Bei gn
2026-06-18 05:05:44
0
appy_precious
🌹Mummie Precious🦋❤️ :
mpeleke hospital Kun dawa ya kuchomelea kitovu my
2026-06-17 23:09:33
0
omnbit3s888
best_bites09omn :
arobain sasa mtoti wangu hajapona kitovu kinatoa uchafu na vidam dam
2026-06-17 20:22:58
0
fatma97049
Fefe🌺 :
Vp kwa mtu mzima inawezekana????
2026-06-17 20:07:12
0
lucysimfrosa
Lucy Micky :
Staki kukumbuka mwanangu nilimwekea mia tano kwa muda wa miez 3 yaaan hadi ngozi ikabilika maanaa niliweka na bandeji
2026-06-17 22:22:38
0
abjn06
abjn :
bei
2026-06-17 21:54:40
1
director.shamila
DIRECTOR SHAMILA DADI :
kama vip serenity mlipo tujuwee
2026-06-18 15:40:35
0
user192339843500
user192339843500 :
nataka.mko wap
2026-06-18 14:09:53
0
nicprecious5
nicprecious :
bei gani
2026-06-18 13:06:46
0
user880301908685
Begin :
bei gani na unavioata vip
2026-06-18 11:31:17
0
hafidhame
hafidh ame :
masurgeon wakiona hii
2026-06-18 07:47:17
0
queenofheaven268
MillenMimah🌎🦋 :
Aseee nikikumbuk zamn ilkuw Mia mbili 😂😂
2026-06-18 09:52:13
0
zcute.6
💖millun💕 :
Bas Mim wangu niliambiwa na Bibi Nitaftie pesa ya Shaba sent 10/20 Zile za 2005 nifungie kitovu na huwez Amin Ndan ya SKU Tatu nimerud . NB: Now maradh NI mengi Nowadays Hakuna direct origin Shaba so nadhan hiki kifaa NI salama zaid .. Thanks 🙏🏻🥰
2026-06-17 21:42:30
1
misschocolate423
misschocolate🍫 :
bei gan naitaji
2026-06-18 07:56:44
0
lilianmaturo
🦋Lilian🦋💫 :
ilikuwa unachukuwa shilingi ya mia mbili unamfunga na fundi
2026-06-18 04:04:52
0
user1651012081818
Mimaah08 :
natak jmn
2026-06-18 02:04:03
0
naffy_mo
naffy_mo :
Sasa wangu ako na miaka 7 kitarudi kweli
2026-06-18 19:09:59
0
lynlinda072
Lynlinda072🦄🎀🦚 :
genz wanaenjoy sana millenials tumefungwa shillingi 20 na bandage😅😅
2026-06-18 17:04:59
0
user628242727185
Salome2028 :
nahitaji
2026-06-18 07:08:11
0
mrsthobius
LucchTobi🥰 :
Sh ngap
2026-06-18 04:46:17
1
taywan066
Taywan :
mnapatikana wapi
2026-06-18 08:39:07
0
To see more videos from user @comfymum_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About