@mozannah: Assalam alaykum guyyysss😍😍😍 Najuwa kila mtu na anavopenda maharage yake ila mi mtu akiniuliza napenda maharage ya nazi au yakuunga kama hivi basi nitachagua haya😍 Nahisi unyamwezi ndani yangu una shout sana😂😂😂🙌🏽 Sasa leo yamezidi kuwa matamu nimetumia hii masala ya mchuzi mix kutoka @onga_tz . Kama unapenda maharage yakuunga kama hivi basi usiache kujaribu hii recipe ni amaziinggg🩷🔥🔥🔥 #ongaflavor #ongachallenge #bringtheflavor #cookforinlaws

mozannah
mozannah
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 17 June 2026 14:00:53 GMT
7880
248
4
10

Music

Download

Comments

princess72198
princess 👸 🦋......🦋 :
mashaall hakuna 👌👌
2026-06-21 08:47:26
0
daa.zay3
Daa zay. :
onga to the world 🥰
2026-06-23 16:53:11
0
motherofthree255
aisha maulidi255 :
🥰
2026-06-25 05:01:55
0
To see more videos from user @mozannah, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About