@roc_tv: Kila mmoja wetu anayo sababu ya kumshukuru MUNGU kwa sababu anatuwazia Mema . Tuungane na Mtumishi wa Mungu @jackymwarabu_ Kumwambia MUNGU Sisi ni akina Nani mpaka atuwazie mema,alafu weka comment yako hapo chini twende sawa. @zamoyonialex_official @jackymwarabu_ #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktokkenya🇰🇪 #viraltiktok #goviral #gospel