@fikrachanya_tz: Njia 6 za kisaikolojia za kumfanya mtu ajisikie vibaya baada ya kukukosea#EmotionalIntelligence #SelfImprovement #Mindset #personalgrowth #MentalStrength

Fikra Chanya
Fikra Chanya
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 17 June 2026 14:40:31 GMT
46127
3253
80
194

Music

Download

Comments

gangsters_gang41
✊🏽Lavie🤙🏽d'Antoine🖖🏽 :
Twenden nyot 30/30-100/100 ambao mnakubalian na huy mwanadada
2026-06-18 02:02:51
8
miss.aminah2
Miss Aminah :
masikini mimi nimefanyiwa sana ubaya na watu lakini sijawah kuwachukia wala kulipa kisasi huwa nachagua kuondok tu kukaa mbali nao 🥹🥹🥹🥹🥹😭😭😭😭😭
2026-06-18 08:49:47
1
super.gal.4
✨sᴜᴘᴇʀ gal🌺 back up account :
naked truth 💯💯
2026-06-18 03:44:14
0
swaumu.yassin0683958935
barandi lambo :
mbn siwezi kunyamazaga
2026-06-18 10:19:45
0
mastura6484
Mastura :
ntaanza kuyafanya kuanzia Leo insha'Allah
2026-06-18 04:58:52
4
swaianaqra
Swaianaqra :
Hongera sana mola akubariki zaidi
2026-06-17 14:47:07
7
shamsiyaabdallah1
user8477505390361 :
samehe ondoka
2026-06-17 20:26:41
5
fikrachanya_tz
Fikra Chanya :
#EmotionalIntelligence #SelfImprovement #Mindset #PersonalGrowth #MentalStrength #LifeLessons #Motivation #SwahiliYouTube #Kujithamini #SuccessMindset
2026-06-17 14:40:40
1
mwinyimvua_khan
Mwinyimvua Khan :
Elewa Code 🗣🙌
2026-06-17 15:28:03
4
user37382741629904
Middo 45 real :
Thank's🙏
2026-06-17 15:48:58
3
um.wael.al.yahmad
Um wael :
ukiondoka ndio dawa
2026-06-17 18:43:41
1
user71181662232464
user71181662232464 :
Nafanyia kazi kuanzia sasa.
2026-06-18 04:19:16
1
_feb_temba225
feb_255 :
ukimya
2026-06-18 11:16:08
0
paschalandrew825
paschalandrew825 :
asante nimejifunza
2026-06-17 20:14:49
2
nadzuwakilaga16gmail.com
nadzuwakilaga16gmail.com :
Dada nilikufatilia sana sai nimepona
2026-06-17 18:57:00
1
khadija.zubeir.ba
🥰أم محمد :
nimejifunza
2026-06-17 21:28:58
1
mr..one106
Mr. ONE1️⃣✅️ :
saw bn
2026-06-17 14:43:21
1
fikrachanya_tz
Fikra Chanya :
Elewa code 🙌
2026-06-17 14:40:46
3
fetty649
fettyothumany :
no 5
2026-06-18 11:02:13
0
justinajosephmbwambo
Mbwambo daycare :
napenda
2026-06-18 15:54:21
0
nusaibat_
nusaibat :
nilinyamaza kimya
2026-06-18 15:13:26
0
user5681817516557
#Khadaiyah masoudy@94 :
naam tutaweza inshallah🥺🥺
2026-06-18 14:57:51
0
peggylicious98
peggy :
Namba 5 😁 nlimsamehe mtu ila nkakaa mbali nae woiiiiii kumbe ili muuma alirud na comeback hyoooooooo zaid na ile ya mwanzo 🙌…..Watu wanaroho mbaya cio poah
2026-06-18 12:35:21
0
fatma.nickson
fatma nickson :
asante
2026-06-17 16:05:44
0
To see more videos from user @fikrachanya_tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About