@talkwithsophia2025: 🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙄

Talkwithsophia🇹🇿
Talkwithsophia🇹🇿
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 17 June 2026 15:21:51 GMT
237987
8676
292
459

Music

Download

Comments

misslee341
韩文贤女士😂 :
Ndoa yangu bado mbichi msinichanganye nampenda mme wangu me Bana 😂😂😂
2026-06-17 21:18:02
160
mirijunglee1
Miri Jung🦋❤️✨ :
Mm ni mchepuko wa mume wa mtu lkn nilivyotok kuiangalia hii movie wallah kuna kitu nimejifunza humu💔😢🙌
2026-06-17 16:32:25
96
dafrosa33
Be smart always :
Ndoa yangu sio movie
2026-06-17 18:48:19
95
dorius_motors
Dorius_motors :
Tayari akili yangu imeridhia NDOA SIIITAKI EEH🙌🙌🙌
2026-06-17 19:03:36
47
neyyysdee2
Ney :
Hii kwel m namchukia mubaba wangu siku mbili hizi 🙌nalichukia tu bila sababu😂
2026-06-17 17:36:19
18
muharaabu
Hussain.muharaabu :
msiendeshwe na movie yaan watu wanajifanya smart rakin wanaendeshwa na maudhui ya movie dah😁😁😁
2026-06-19 10:24:06
14
mrsmlungu..948
Miss beth🦋 :
me naomba mnifundishe namna ya kulipia netflix
2026-06-17 19:11:24
8
gplut
GEE ❤️ :
Nimeangalia bwana ila jonasi🙌
2026-06-17 19:22:18
7
cute.gi22
MAMA AMAYRA :
yaan we dada unapenda Sana Tamthilia kama mm
2026-06-17 18:23:30
7
kimnan998
@kim..nana28..😅🎵😘♓️ :
ila jonasi🙌😂😂😂😂😳
2026-06-17 15:31:03
5
doublem7049
DOUBLEM🙏🫶 :
Nimefika sehemu ya 13 bt nmeshindwa kumalizia 🥹
2026-06-18 07:38:56
4
parvy_124
parvy_124 :
ndio uhalisia wa maisha
2026-06-18 09:22:45
4
user5800831217237
user5800831217237 :
Me sijaona nasikia tuu story yake, nmemchukia mwanaume wangu
2026-06-19 11:20:13
4
user842991368
PATRICK DANIEL :
mi naamini hii movie itavunja ndoa nyingi sana hapa bongo niko paleeee
2026-06-17 20:17:37
3
amjustamumy
Being mumy G👑 :
Jonas my man i love you 😘
2026-06-18 08:13:13
3
user65242750956838
Nee🍂 :
mniache na mbaba wangu😊
2026-06-19 10:03:02
3
rosedmakeup
Rosed_makeup :
For sure 🙌🏼🙌🏼
2026-06-17 21:18:13
3
miss.mahher1
mahher :
ukweli mtupu
2026-06-17 15:32:02
3
mamj601
mwajumahaji702 :
mbona kuna watu wanayapitia hayo maisha
2026-06-18 20:07:02
2
africana439
africana439 :
Mbn hii movie ya kawaida sanaaa
2026-06-18 08:39:58
2
user7181416088672
GAMY WILLY :
ila jonas ni next level yohh🙌🙌🤣🤣🤣
2026-06-18 10:41:31
2
eliadacliphod21
eliadacliphod21 :
For me nimejifunza mnoo
2026-06-18 05:01:02
2
ronnydesignss
Veronicah Emillian :
😂😂😂
2026-06-17 16:40:57
2
To see more videos from user @talkwithsophia2025, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About