Hiyo 9,900 si lazima iwe 10,000, kwa sababu 9,800 ni deni lililobaki, si pesa ulizokuwa nazo mwanzoni.
Njia sahihi ya kuhesabu ni:
•Ulichotumia dukani = 9,700
•Ulichorudisha kwa wadai = 200
•Ulichobaki nacho = 100
9,700 + 200 + 100 = 10,000 ✅
Kwa hiyo, hakuna shilingi 100 iliyopotea; ni mtego wa kuchanganya deni na pesa iliyobaki.
2026-06-17 23:20:51
150
John kidu2517347077002 :
umekosea kujumlisha 100 yakaka, 100 yadada , 100yakwako na iliyobaki ni 9700= jumlisha 9700+100yakaka+100yadada+100 yakwako=10000/
2026-06-18 11:14:44
43
amin1🤗 :
9700 plus 100 iliyobaki ndo total debt(deni) so if you take 4900 plus 4900 you get 9800 hence that 100 is in place of 9700 to get 9800 as total deni
2026-06-20 09:58:48
1
.Beki :
tulio pata jibu kwenye coment tujuane
2026-06-18 10:23:17
51
hamisa💙💦 :
100 ipo kwenye 9700
2026-06-18 09:39:23
8
juma7070 :
unajua nacheka kwann 😂😂😂😂
2026-06-18 20:17:44
3
Ndity19 :
hapa kama hujui maswala ya Assets and liabilities hutoboi
d=5000-100
k=5000-100
nikabaki na 100
5000*2=10000-200=9800
9800-100=9700
9700+k+d+nikabaki=10000
9800 ukawaongeza 100 =9900 wananidai Mia ju watagawanya kila mutu apate 4950+4950
9800 is not your money, it's a debt to pay. your money. your money is the asset you have which is the cloth worth 9700+ the 300 which you shared 100 to each one of you to make it 10000.
2026-06-20 00:29:35
0
SEIF RAHIANY :
9700
kaka 100 + 9700=9800
Dada 100 + 9800=9900
Baki 100 + 9900=10,000
Imeisha hiyo au una semaje?
2026-06-18 15:40:35
5
veech kidd🫵 :
tulio kimbilia comment tujuane 😀😀
2026-06-18 20:43:16
3
clever :
asa 100 ela ata ipotee😅
2026-06-18 22:09:39
2
Tiffan🥷 :
imedondoka Sasa jaman
2026-06-18 12:53:11
3
mariana daudi :
ninayo mimi mwenyew😁😁
2026-06-18 14:22:16
3
Tanzanite Electrical Solution :
Mi kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa naweka wazi ya kwamba maoni yangu na mawazo yangu naeleza kuwa mtazamo huu ni kueleza kuwa sina la maana ndugu zangu.
2026-06-20 08:07:24
1
D_E_B_L_E_💯_🫂_😂_📌_❤️ :
matakoni
2026-06-19 12:49:27
1
To see more videos from user @sebastianmsigwa97, please go to the Tikwm
homepage.