Nilisema hii siiwezi imekaa Kama Question mark ❓ 🙌💔
2026-06-18 16:28:28
320
🦋 lightness 🦋 ♐️ :
tuna view profile kulingana na uzito wa comment ☺️
2026-06-18 10:54:29
347
rahy❤💝💖 :
𝗺𝗺𝗺𝗺𝗺𝗺𝗺
2026-06-19 12:42:38
1
FROM UR CONTACT :
:🤣🤣🤣Natamani kucheka kwa sauti lakini chumbani kwangu kuna MBU wakisikia sauti watajua nilipo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-06-18 12:10:51
327
Wizy khalif :
sister unaesoma coment za wenzako habari yakoo 😅😂🤣
2026-06-19 10:51:44
76
reycute :
mmmh kizaz cn leo
2026-06-18 11:32:41
253
iamlycer :
walimtahiri vibaya
2026-06-18 15:50:25
151
Laurenmwanyonga :
tuliokimbilia kusoma comment tujuane
2026-06-18 12:50:28
267
Islamic content🕊 :
@Msaka Mema: Haya leo nitawapa nasaha hii ya bure kabisa ... Ndugu zangu musione kua ni ujasiri au ni ufakhari kutangaza matendo mabaya muliyo yafanya kwa siri na MUNGU akawasitiri leo munajianika 🥺🥺
Hakika tuna mengi ya kumjibu Mola wetu mlezi