@mkubwa_tozzy:

dogo_tozzy
dogo_tozzy
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 17 June 2026 17:53:33 GMT
49091
1885
38
288

Music

Download

Comments

naj_abby
naj abby( najkitchenware) :
sio kwa ubaya ila hiitabia sio poa kwan huwezi shtua watu kwamba wanaibiw au ndio kutafta content sio poa bhana
2026-06-17 17:59:49
26
useruc81tyq3cc
. :
😂😂😂😂 na mm nilikuwa live
2026-06-17 20:56:32
13
.last.one7
miss ishaa :
bas huy ndio kanibia mie leo maeneo hay
2026-06-17 22:04:44
2
br_edit22
..... :
tozzy ni mmoja tu🔥🔥🔥
2026-06-17 17:57:09
10
t.boy.babyclothes
T.BOY.BABY CLOTHES 👖 :
uyo mjomba namjua ila asiingie kwenye hanga zangu kabisa
2026-06-17 19:00:58
7
thebastarrd
jombiJr :
😂😂 acha usnitch
2026-06-17 17:59:31
1
jenny_juicefresh
jenny_juicefresh :
Ni kweli na mimi nilimshtukia pale msimbazi B hivyo hivyo
2026-06-17 21:57:33
1
braytonhumprey
chugg boy :
pp
2026-06-17 18:54:00
1
junior.fagod
JUNIOR 💙💦 :
daah kumbe nilikua naibiwa alf hamnishtui jmn🥺
2026-06-17 19:56:22
0
g.e.o.f.r.e
g.e.o.f.r.e :
kwenye Moja na mbili Leo nimekung'aza
2026-06-17 20:11:26
0
deedeekipotabo
Miss deedee :
Aisee nishabebewa simu na begi niliweka mbele sikua na habari,kama mungu kuna mkaka akamuona alieiba akamwambia rudisha aisee niliondoka home mda huo huo😆tangu siku hiyo kariakoo siendi kizembe🙌🏻
2026-06-17 20:17:19
0
auspicious493
👣 :
🤣🤣🤣duh
2026-06-17 19:14:37
0
shopwithriri3
SHOP WITH RIRI🛍️🛒 :
Mjini shule😂😂😂
2026-06-17 20:01:01
0
mkolezo.m.k
MKOLEZO (m.k) :
mamb ni mengi muda mchache
2026-06-17 19:24:58
0
de..zox
De.. zox 👑 :
inafurahisha kama hujaibiwa wew ila noumaah sana
2026-06-17 18:27:42
2
doshcatarias
Dosho Catarias :
ninyi ndo mnawafuga apo
2026-06-17 22:04:56
0
dee.bright.23
Dee Bright 23 :
dogo tozi unachoresha sasa tukale wapi mang'ombe kibao k koo😁
2026-06-17 20:06:58
0
yuzomanga660
Yuzo Manga :
huy anaitw pengo ana balaa
2026-06-17 19:37:46
0
gymer.x
gymer.x :
Kwaiyo broo wakat anataka kuniibia ww ulikuwa unaona ila ata kunishtua brd malipo apa apa dunian🫵🫩
2026-06-17 21:44:55
0
purple_real1
purple_real og⛎ :
😂😂😂
2026-06-17 18:04:09
3
gmarleystore
GMARLEYSTORE :
😂
2026-06-17 18:48:14
0
gmarleystore
GMARLEYSTORE :
😂😂😂😂😂
2026-06-17 18:48:17
0
To see more videos from user @mkubwa_tozzy, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About