ipo siku mtasema ile aya:innaa llaha wamaikat swalluna alaannabih:)hii pia mtasema allah hawez kumswalia mtume💯💯
2026-06-20 17:18:12
5
Kiago Bakari :
sheikh abou muusaa abubakar kiza Allah amuhifadhi kweli hiidua yaombwa sana na wazeewetu wa kisufi Allah awaongoze
lakini hapa baadhi ujumbe ushawafikia ibakie kiburi tu na jeuri twamuomba Allah afyia na salama
2026-06-18 07:31:46
8
مزروع معصوم :
acha uchuz
2026-06-23 06:53:46
0
KING KALELA :
duh nilikua siijui dua hii sasa umenifundisha nashukuruu sana.
2026-06-24 18:44:00
1
ovoxo :
اللهم maana yake nn jamani subhanallah tuache kupotodha umma
2026-07-08 20:44:29
0
Ngechy Dessigner :
duh
2026-06-17 18:59:37
2
IBNUSAEED 💫 :
ALLAH awape ufahamu japo kidogo 🤲....mana nyie sio wa kulaumiwa tena.
2026-06-23 15:04:44
1
Muslih Iddi :
Allah hukbar
2026-07-15 14:49:32
0
Scorpio786 :
Jazak Allah Kher
2026-06-18 21:23:13
0
Muh :
sasa ww umeijuaje au yeye kaijuaje
2026-07-12 15:27:44
0
زين العابدين علي بن الحسين :
Allah akulipe kheri
2026-06-18 09:42:47
1
SAVANA KUKU FARM :
hatuiachi vimben mpasuke😂😂😂
2026-06-18 07:13:20
8
Nofly8 :
Wacha bifu na Mtume ww
Allah akuzidishie maradhi...kwa jaha ya Mtume Muhammad...S.a.w
2026-06-23 21:40:36
1
GOAL POACHER :
sasa munavuka mipaka mungu awaongoe shirki ni ipi apo wazeee
2026-06-24 15:01:02
1
khalid monde :
uwa naisikiaga sana kumbe Allah akuifadhi
2026-06-18 05:12:00
2
Jay warhymes255 :
sio dua ni kuswalia mtume
2026-06-20 13:19:52
3
khumays :
wavimba macho nyie
2026-06-19 19:41:01
1
shila57583 :
hyo kwko ndo shirki
2026-06-23 16:47:26
1
Baraka :
daah!! hivi kuna mafungamano gani Kati ya uansari na kutokujua kusoma!!? 😅
2026-07-13 15:14:37
0
mu suley :
Mjinga ww
2026-07-12 11:28:42
0
Ibrahim Kantala :
اللهم صل صلاة كاملة hapo ni mtume anaombwa sio
2026-07-12 15:45:41
0
uchebejruchebejr :
Swala Ya Mtume Ni shirk!!!!?
2026-07-15 04:24:39
0
OMAƦ :
@K H A L I D @Islam Mbarak
2026-06-18 09:56:38
2
To see more videos from user @abuu_uthaymeen1, please go to the Tikwm
homepage.