🤣🤣🤣Natamani kucheka kwa sauti lakini chumbani kwangu kuna MBU wakisikia sauti watajua nilipo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-06-19 07:03:59
70
Mr_De :
Ipo sawa kwa sababu walikuwa wanadaiana wote, jamaa kabaki na Buku lake.
2026-06-18 04:44:16
111
KIMJOA :
kama umependa hii video like
2026-06-18 15:26:42
124
Halima Ramadhani :
TikTok is better than relationship 😂😂
2026-06-18 11:55:22
53
Amarasi❤️ :
ukisikia jukwajuu ndio hiyo sasa
2026-06-18 08:43:59
45
fah ❤️🔥😘 :
10/10. nalipa
2026-06-19 08:41:22
6
Breezy :
jamaa alitaka tu abaki na buku lake
2026-06-18 12:33:43
12
IBRA DEGE KGM :
nachoka mim🥰
2026-06-18 09:04:18
5
YUZZO🇳🇬🇳🇬🇹🇿🇹🇿 :
rotation
2026-06-18 06:51:18
6
cathie_🖇😍 :
tulichanganyikiw like apa😅
2026-06-18 16:21:59
6
Choosen one 🦋😇🥰🫡🙏🏻 :
🤣🤣🤣 sijaelewa
2026-06-18 07:09:21
23
Mimah rainroy :
sina mengi naombeni like
2026-06-18 15:03:13
7
Abadi M. Masito :
hii nakumbuka nilivyokuwa olevel nilikuwa nadaiwa jero na rafiki angu hemed huku hemed kiwa anadaiwa na mdogo etu kayamba siku hemedi anashida na jero yake afu tulikuwa watu watano kama camp akiwemo hemed na kayamba ila hemedi kunidai ela yake nkampa kayamba kaona akamdai pale pale ela ikapitiliza kwa kayamba cha ajabu kumbe nilikuwa namdai kayamba ika nilikuwa nimesahau kayamba akanipa ile ela, hemedi aliumia sana ilibidi anikope ile jero! maisha ya shule ni noma sana! tulikuwa tunadaiana hadi jero! aisee tumetoka mbali sana!!
2026-06-21 11:31:57
7
mrs dornady :
aaah wee me sitaki 🤣🤣🤣
2026-06-18 10:54:29
5
Mathias Arbert :
maana yake usije ukakaa na wanao kudai Karibu hakikisha wanao kudai wako Mbali Mbali.
2026-06-18 07:53:30
16
Maira makeup artist💄 :
mimi nashindwa kuelewaaaa nashindw kuelewaaaaaa🤔
2026-06-19 09:24:48
7
@DefficialLyn :
Hela yao nachanganyikiwa mimi 😅😂
2026-06-18 16:29:19
7
abdulntara981 :
yani,elfu 1000 imelipa,elfu 6000 duh
2026-06-18 19:10:50
16
olaisery makunga :
buku limezaaa elufusita
2026-06-18 05:54:26
5
zainabuu48 :
jmn mm sijaelewa 😀😀😀😀
2026-06-20 12:56:04
3
Asia janath :
dah nimecheka sana
2026-06-18 20:24:12
2
To see more videos from user @shinje.chama, please go to the Tikwm
homepage.