@bongotech255: 📢 Sio Hadithi Tena bhana!! Hatimaye Mfumo mpya wa Android 17 umeachiwa rasmi na Google ukiwa na feature mbalimbali za kipekee. Mfumo huo umeanza kupatikana kwa watumiaji wa Google Pixel pekee ambao wanastahili kupokea Mfumo mpya wa Android 17. Baadhi ya maboresho makubwa ya Android 17 ni: ✈️ Mfumo mpya wa multitasking unaoitwa Bubbles. 🔥Screen Reactions unaweza Rekodi video kupitia front camera pamoja na screen recording kwa jumla bila kutumia apps. 🔏 Maboresho upande wa Usalama na faragha. 🔋 Maboresho kwenye utunzaji Chaji wa Betri na Mfumo kamili wa kuhifadhi kumbukumbu (Ram). 📢 Maboresho ya Ai kwenye program ya Gemini. Sogeza picha kuona zaidi tahadhari 👋. #bongotech255 #android17 #technologynews #teknoloji

Bongotech255💎
Bongotech255💎
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 17 June 2026 19:45:44 GMT
857
20
2
1

Music

Download

Comments

wakubwenga_tz
wakubwenga_Tz :
pixel ina laha yake
2026-06-17 20:08:42
0
dj.popytz
Dj PopyTz :
mim nime update leo
2026-06-17 20:42:38
0
To see more videos from user @bongotech255, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About