@queen.cute296:

Babe Queen 🦋❤️🦋
Babe Queen 🦋❤️🦋
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 17 June 2026 20:07:19 GMT
263830
10949
573
643

Music

Download

Comments

juliethjosiah870
Julieth Josiah :
unafuta alafu unakuta umeikalili kichwani kama ilishakutokea gonga like apa
2026-06-19 10:23:33
153
user3690562752302
Mr's mtoto :
wa hivyoooo tujuaneee jmn
2026-06-18 17:23:51
22
lucy.chuwa44
Lucy Chuwa :
usinisemee jmn 😆🙌🙆🙌🙆💯💯
2026-06-23 13:06:12
1
getrudajilala
Getruda jilala :
eti nafuta namba wakati nimeikalii😂😂😂
2026-06-18 07:16:09
28
fettymikola445
🎀fetty🎀 :
🤣🤣🤣🤣uyo ni mim Hadi nablock kabixa nikimaliza kulia na save tena Yan daah🙌🙌
2026-06-20 21:21:03
14
chima_love2
miss chima💞💞 :
sema wanawake tunapenda kujiamulia mabo tunafuta namba kwenye cm afu kichwan ipo
2026-06-20 19:54:56
8
user967617348615
[email protected] :
yote hayo yalifanyikaa na bdo tumeachnaa
2026-06-21 13:25:14
5
user9882190027294
pic ya msela :
mimi nafuta na brock namtoa na sm af nikilud hewan namuuliza umenitaft akisema hapna na brock namba mm haya sio mapenz nais kanilog
2026-06-19 20:13:20
8
user6939213368845
user6939213368845 :
mi ndo tabia yangu na siachi ad niakikishe mwisho wapi🤣🤣🤣
2026-06-18 17:13:20
14
user8377707686157
ritha :
uyu mimi adi namblock afu baadae namrudisha😃😃😄
2026-06-18 09:10:02
14
mariamjuma584
Mariam Juma :
me nilimmbock kabs😂😂
2026-06-19 17:04:59
1
beatricedickson
Trice🎀 :
Huyu ni mm na muharifu wangu 😂
2026-06-18 12:47:37
12
user8082942838780
Que💕❣️ :
Mhmmm mbona mm inakuwaga ivo lakin kaniacha
2026-06-18 20:10:21
2
leynary47
leynary 47 :
namuweka profile picture tukigombana namtoa nanafuta namba kabisa alf yakiisha namrudidha😅😂🤣
2026-06-19 14:30:58
5
user8886325534653
fortu :
mm nafuta namba alafu naanza kuitafta tena 🤣🤣🤣🤣
2026-06-19 16:59:39
3
ndimbolau
Laurencia :
nipo hapaaaa ila siku akijuaaa
2026-06-18 16:44:49
2
nasramgunya8
NasraMgunya :
hahahahaaa!! jamani nimecheka sana k
2026-06-18 17:41:41
1
john_athanas25
MALUME🥶 :
daah unafuta namba lakin unaikumbuka kichwani😁😭🙌🙌
2026-06-19 21:18:25
6
user4923556350710
userGlory uchizii :
maisha yang y kila day hayoo 😆😆
2026-06-20 14:58:53
3
queen02969
Queen🥰🧚 :
😂😂😂 nisha pitia hii hali san alafu sas nafuta namba kwenyesimu eti nimeikariri alafu najipa moyo niki kalili namba ingine keshotu naisahau nilivo fala sasa akipiga yakwanza nakaza akikata naomba mungu apige tena😂😂😂😂😂 mapenz shkamoo
2026-06-20 08:26:25
0
user74796919836010
Khajat M :
hahahahahhaahahajahahahha uuuwiiiiiiiiiih mwemwemweeeeh jamani mtaniua mie!!!!; yaani ndiyo mimi kabisa huyo🤣
2026-06-18 15:19:28
0
kambuajacob
Kambua Jacob :
😅😅😅😅😅😅kumbe Nina mapenzi ya kweli congratulations to me I love you so much my husband you are the best Man 💕💕💕
2026-06-18 14:25:58
2
aminabadi728
madam badiy :
mbona unanisema mim😅
2026-06-18 17:48:48
1
user660217665933
rukia Juma mkama :
Mimi mpaka sasa nachoka la kusema
2026-06-20 16:44:10
1
carolkahdad
carolkahdad :
Kwan huwa mnajua ajh,,,mm uyu hap
2026-06-19 11:29:53
3
To see more videos from user @queen.cute296, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About