cr7 ana chemistry nzuri na joao felix,kama joao Felix akianza crz lazma a perform
2026-06-18 05:24:06
8
Almando :
Mbn messi anazitafuta na kuzitengeneza mwenyew😂
2026-06-18 03:25:56
16
👑 khan💥kiddy💥💫 :
it's true
2026-06-18 06:49:43
0
cosmetics junior 💄🤗 :
kwel ban Ronaldo alikuw hapew pas bn
2026-06-18 05:36:49
41
Nkomino :
hata kam dunia yote imchukie CR7 kwangu bad naamin nd GOAT
2026-06-18 07:42:16
10
Hunchor★ :
Mbappe 2 goals
Haaland 2 goals
Messi 3 goals
Ronaldo 41 years old😂😂
2026-06-18 01:10:53
9
Dâñģ3ŕôûś-Mïñďż :
Ronaldo atadhalilika sana hii world cup nakuambia
2026-06-18 02:33:59
11
jingjing🔵 :
SEMAJI LA URENO😅😂
2026-06-18 08:45:15
3
Deesanboy :
Historian haitabadilik heis always 🐐 kashafany vingi sema umri Ndo unamtup but akuna Ronaldo mwingine kutokea duniani 💪
2026-06-18 00:15:08
17
tweny two :
hata akimpasia ronaldo hafungi sasa😁😁
2026-06-18 03:45:06
5
Emmanuel Paul :
me sio Ronaldo fan .. ila we ni next level IQ kubwa 🔥
2026-06-17 22:29:20
9
dominickgilbert :
10/10 nalipa kwa uaminifu
2026-06-18 04:33:46
4
King hb 👑⚽ :
msikilizeni Ali kamwe ana kit kikubwa kweny mpira wallah 🙏
2026-06-17 21:54:59
17
Mayachris12 :
Ally kamwe unauona mpira vizuri bro, hilo mm nililiona hilo dakika za mwanzo kabisa
2026-06-18 04:05:09
7
么。Nㄖㄖㄋ :
FACT 💯💯
2026-06-18 04:21:53
0
Blackbird :
mm nnahasira l wish CR7 aseme awekwe bench awaaache wacheze vile wanataka
2026-06-18 08:22:45
0
Yahya Ahmed :
Ronaldo yupi huyu huyu aliedara mpira full game mara 25 wasaliti wa Africa alafu mwasema ni wazalendo niwasikie tena mwasema Ronaldo goat jela miaka 10
2026-06-18 04:09:30
0
contawa_47 :
waziiii
2026-06-18 06:24:51
0
Rojalay :
ukweli uliodhahir kabsa Ronaldo hawampo pasi kabsa
2026-06-17 22:21:32
8
Z__ A__ N__ K__ I__ N__ g :
mwambie akakae na yanga alafu apunguze umbea
2026-06-18 06:12:51
1
OBIO :
Upate kikao na wachezaji ww kama nani?
2026-06-18 05:49:45
3
Eng Maduhu• :
Bruno siku zote huw simukubal kw 7bu iii akifika timu ya taifa huw hampi kbs pass ronaldo😏
2026-06-18 05:28:24
1
invisible (🥷🥷) :
hana msaada kivilee
2026-06-18 05:48:18
1
sad_3moji :
kaka umeona unavyoumia ndo hivyo hivyo hua mnatuona wajinga tukiwaambia kuhisu dube, mpen nafas depuu🔥
2026-06-18 07:25:31
1
To see more videos from user @vkbmedia, please go to the Tikwm
homepage.