@mbeya9safari: KUNA FAIDA NYINGI ZA MABUS KUTEMBEA USIKU, NAOMBA TAJA ANGALAU MOJA TUU PIA UNAVYOTAJA USIHAU KUWAPA POLE WALIOKUWA WANAMILIKI GEST HOUSE KARIBU NA STEND MAANA KILIWAMBA GARI ZILIPOANZA KUTEMBEA USIKU KWA USIKU ๐ ๐
namba 1 ni agstgshsgfsivzcahajvKaczkafCzzkzgskzvgshzknzczuhdgcdagnsnzczkssscauwhshw7wusggsnskisgakshshasgwhiwgh3ie6twwosvscashagavajahgajagbabvauwbvawjt2y2b
2026-06-18 20:26:19
1
0784elle :
ukiamka umeshafika
2026-06-18 09:37:40
63
JAYkimใ๏ธ :
kuona wachai na majini lives
2026-06-18 08:21:17
63
iam_anie๐ฆ๐ฅฐ :
haishoshi sn kam mchana๐ฅฐ๐ฅฐ
2026-06-18 12:24:41
20
Alghasa :
engine inapata mfumo mzuri wa upozaji (cooling system)
hakuna safari napenda kama za usiku unashinda Dubai unaamkia Tanzania ๐๐๐๐๐bado unashinda Daar unaamkia Arusha uwiiiiiiih ni mwecheche akiiii usiku 5tenaโ๏ธโ๏ธโ๏ธโ๏ธโ๏ธโ๏ธโ๏ธโ๏ธโ๏ธโ๏ธ
2026-06-18 19:40:26
3
user2566285472450 :
hamna zaidi ya ajali
2026-06-18 14:10:22
6
mamuu lastborn๐ :
haichoshi sana
2026-06-18 09:29:33
11
fah โค๏ธโ๐ฅ๐ :
10/10 nalipa
2026-06-18 10:23:16
5
Ommy the way@ :
hamna cha faida ila mimi napenda nikiwa kwenye basi zipigwe rhumba music za maana kutoka congo huwa ndo kilevi changu
2026-06-18 14:01:45
8
Captain :
hakuna jam
kama mchana๐ฏ
2026-06-18 09:05:51
9
Urio queen :
napenda safari za usku af na piano Kali kama hii apa alooo acha tu๐คฃ๐คฃ
2026-06-18 13:11:20
7
J.kitunga@2023 :
traffic jams hakuna
2026-06-18 12:48:22
1
kulwa :
kutoka dar..kwenda mwanza...ukilala na kuamka ushafika๐ฅฐ๐ฅฐ๐ฅฐ...k
2026-06-18 14:09:06
1
BRIDGET HENRY :
Huwazi sana
2026-06-18 16:24:43
3
joharii abdallah :
wifi
2026-06-18 11:54:41
0
MR.KALINGA ๐ฏ๐ฏ :
hakunafoleni
2026-06-18 14:21:00
1
Thanks mirambo :
hewa nzr
2026-06-18 18:24:44
2
susaki pisces โ๐ :
faida kuu ajali
2026-06-18 15:29:15
3
yasinta2182 :
pia hamna folen
2026-06-18 18:12:11
1
To see more videos from user @mbeya9safari, please go to the Tikwm
homepage.