Kiukweli nashidwa niseme nn kikubwa mwenyezi mungu akupe pepo yako
2026-07-02 08:22:19
13
Yusuph Robarth :
duu mungu akutunze
2026-07-22 19:28:34
3
Hussein :
kweli baba lala salama
2026-06-24 08:46:13
7
user2019620545841 :
kwellbaba kwel bana tuta kukumbuka
2026-07-15 04:41:02
4
bilo kika tz simbaa,@ :
daaaaah ila ww ndo urikuwa baba wa taifa
2026-07-15 09:04:13
5
elifuraha abasi :
hii ndio nchi tunaitaka sisi kama watsnzania
2026-07-18 21:31:11
6
amadikasembe85 :
wanajaliiii maslaii yaooo
2026-07-02 17:36:37
2
Augustin Kasereka :
huyu baba baba baba nenda Salama
2026-07-23 18:49:50
2
m4 :
Sina cha kusema zaid Nina mshukulu Mungu
2026-08-13 21:15:03
1
Simba mweusi :
🙏🙏🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿baba tuta kukumbuk san
2026-07-26 08:45:20
2
John Mapua :
saf 🙏
2026-07-27 17:56:19
1
Azam de machenja :
hivi haya maelekezo yanafanya kazi kweli mpaka sasa
2026-07-04 06:22:05
2
Dollars⚡️🍂 :
Elewa Neno watu uwezo huwa hatufanani👐🏻
2026-07-31 15:11:28
3
Mussa Chelula :
mungu we unajua
2026-07-24 05:58:28
2
fraide mbuba :
mungu mwema
2026-06-19 02:15:26
4
Jackson Hungwi :
inaumiza baba dah
2026-08-26 04:19:44
0
Gimbi Khani master 🙌 :
mzee baba ulipendwa kweli saivi yamerudi yazamani maisha yamekua magumu kutoboa niisitoria mzee baba tutakukumbuka kwamengi
2026-08-13 13:58:02
0
user1300408781584 :
yan kizur akidum
2026-08-19 04:41:10
1
John Machera :
Kenya ikipata rais kama huyu kila mtu anaeza kuwa tajiri
2026-08-18 17:30:58
0
BEN KALLY🇨🇩🇨🇩🇨🇩🦅 :
@BEN KALLY🇨🇩🇨🇩🇨🇩🦅 :Mimi ni Mkongo na nilimpenda sana Magufuli. Siku zote nilikuwa na ndoto ya kumuona mara moja Tanzania, lakini kwa bahati mbaya, najikuta hapa Tanzania na hayupo tena kwetu. Kama mgeni, nina huzuni kubwa hadi leo. Nashangaa jinsi watu wa Tanzania wanavyokabiliana na maumivu haya. Roho yako ipumzike kwa amani, shujaa Magufuli. 😭😭😭😭😭💔💔💔💔💔
2026-08-21 09:50:53
0
A.k.a KIBABU :
waja wema hawadumu🥺🥺🥺
2026-08-16 03:10:02
0
omary :
kweli
2026-07-23 07:07:59
0
To see more videos from user @musiala9586, please go to the Tikwm
homepage.