@kichwa.mbovu2: Mstaafu mkuu wa majeshi , Ulinzi na uslama anaelezea mazunguzo ya yeye na Hayat magufuli kabla hajaondoka duniani #fyp #fypシ゚viral #foryou

kichwa mbovu
kichwa mbovu
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 18 June 2026 03:34:28 GMT
77363
4624
68
83

Music

Download

Comments

user19734042047590momba
issa Abduly 05 :
sema mabeyo atabaki kuwa the best all time
2026-06-18 09:14:12
33
user119282619510
[email protected] :
Pumzika kwa Amani JPM Tyutakukumbuka daima
2026-07-04 20:56:59
1
shanirarashid
Shanira Rashid :
mambo mengi yaliendelea mengi sana ila tuseme alhamdullilah mlitunyima haki ya kumuombea kipindi anapambania maisha yke
2026-06-18 15:57:03
14
njemba_jr
NJEMBA Jr :
Pumzika kwa amani JPM Bado tunakukumbuka
2026-06-18 15:18:02
11
dozamaster0
Officiall Doza72 :
mabeooo hongra hyo ni baraka kubaki na man of God JPM
2026-07-04 16:37:49
1
simulatortz
driver001 :
😔😔😔daah aisee
2026-06-18 05:47:36
4
mgayamethod
mgayamethod :
Watu wema huwa na mwisho mwema ,Ila TANZANIA 🇹🇿 inakukumbuka sanaaa 🥺🥺🥺🥺
2026-06-18 09:27:33
7
jmwamloso9gmail.c
THE POWER OF ZERO PLUS+ :
nakosa niandike nini😭
2026-06-19 19:06:51
1
nuhu_mt09tz
Alwatan_MT09 :
Tutakukumbuka milele Mr JPM
2026-06-19 04:42:18
4
garnacho8_
garnacho :
🥺
2026-06-19 09:09:52
4
pmathias59
Philimon :
Dah inauma sana jamni
2026-06-19 18:24:18
3
frankleo318
Dr Leo :
The best CDF of the all time.....Mr Iron 🧇🧇🧇🧇
2026-06-20 16:54:46
1
user24024190945116
user24024190945116 :
Watanzania tunakushukru sana Jenerali Mabeyo kwa kushirikiana na Mzee wetu JPM kwa uaminifu mpaka mwisho.🙏🙏 baba yetu JPM na mama Janeth🙏🙏🙏🙏
2026-06-19 03:57:38
2
iga.yohna
iga.Yohna Mwakalebela :
munguatajitukuza.mwenyewe.sikuzijazo
2026-06-24 21:25:34
0
maila2902
Ibraah :
Daah😭😭🙌
2026-06-19 11:56:45
2
jaden_tz_official
JADEN CURTIS TZ :
Amen 😔
2026-06-18 20:45:26
2
mwampashi.furnitu
Mwampashi Furniture :
baba atabaki kuwa baba 22222
2026-06-22 09:09:44
1
user7722521419750
Eric cantona :
pumzika kwa amina baba 😢
2026-06-20 09:01:44
1
erickson.spyraz
Erickson spyraz :
hapo Kuna Siri moja kubwa sanaaaa ambayo ndo anaijua yeye na Mungu wake
2026-06-18 11:36:24
10
muznamassoud
HAMAS OF ZANZIBAR :
SISI TUNAPANGA MIPANGO NA MUNGU ANAPANGA YAKE,NA HAUFIKI MSIBA ILA KWA IDHNI YA ALLHA
2026-06-18 10:33:18
5
ramatz71
ramatz71 :
chief of defense forces...venancy salvatory mabeyo...baba ✍️🙏
2026-06-23 22:59:33
2
the__code__man
Mr_G_•°• :
CDF ni nini wakuu
2026-06-19 19:26:56
2
fadho.ndenga
Fadho Ndenga :
hiki kizaz hatutamsahau
2026-06-18 20:14:07
2
elly25927
Elly@25 :
JPM Baba 😢😢 tunateseka huku tuombee kwa mungu atupe kama wewe
2026-06-19 14:43:03
1
user4680843637960
user4680843637960 :
sisi watanzania mil 60 tulishindwa kumlinda JPM hidhambi haitatuacha salama alitupenda sana JPM😭
2026-06-19 16:12:51
1
To see more videos from user @kichwa.mbovu2, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About