@makinimedia: Mjadala wa Bajeti ya Serikali Bungeni jjini Dodoma umegusa hisia na kuibua mjadala mpana baada ya Prof. Sospeter Muhongo kutoa uchambuzi wa kina kuhusu mwelekeo wa uchumi wa Tanzania na hatua zinazohitajika kuharakisha maendeleo ya taifa. ✍🏾 @MakiniZaidi #MakiniMedia Makini Media - The Trusted Voice