@mwl.emilian.katub7: Acha wajue leo kwamba Una Mungu Na kama asingelikuwa ni huyu Mungu ungeshapotea siku nyingi. Hivyo ulivyo leo, kazi uliyonayo leo,Biashara uliyonayo leo, Ndoa uliyonayo leo, Ni Mungu Kama unajua kwamba Ulivyo leo ni kwasababu ya Mungu usipite bila kusema Nina Mungu kwenye maisha yangu
Mwl Emilian Katubayemo
Region: KE
Thursday 18 June 2026 04:16:01 GMT
Music
Download
Comments
princes flory🤍 :
Amina Kama si bwana aliyekua pamoja nami maadui wangalinimeza Asante mungu katika kila hatua
2026-06-18 04:21:52
102
Faith B, O :
Ni mimi huyu amenitetea mbele ya watesi wangu na bado ananipigania amen amen amen
2026-06-18 16:42:42
39
jane :
very very true, it's been God only on our side
2026-07-29 17:07:23
4
Caren💕 P💕Bryton :
Hakika nina Mungu
vile wanataman niharibikiwe lkn wanashangaa vile nabarikiwa
2026-06-19 09:20:24
16
fettylicious ben :
kumtegemea mungu kuna faida hakika mungu wetu ni wa rehema🙏
2026-06-19 11:50:33
19
Mira de mira mutu bien :
mungu ni mwema kwangu
2026-06-18 07:47:06
10
metty :
amen ni neema na kwa rehema za mungu
2026-06-25 12:53:36
1
Davidleon👑✈️ :
amen 🙏🙏
2026-06-18 07:27:16
6
Cynthia Kageha :
Amen 🙏
2026-06-18 04:29:39
2
aristidence❤️🔥 :
Ameen🙏🙏🙏🙏
2026-06-22 10:15:00
2
mamakedeejosk❤ :
Napenda mahubiri ya huyu mtumishi wa Mungu❤️Tuna Mungu jamani
2026-06-18 07:55:33
9
gift beautiful :
MUNGU USINIACHEE MTOTO WAKO.🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2026-08-07 18:35:25
2
Alongolaka Soni yesu nanga ❤️ :
kweli kabisa babayangu
2026-06-19 07:06:00
3
de wekesa :
Our God is great and faithful
2026-07-27 18:49:35
2
JOHNSIGHTINGS ☑ :
Walai tuna Mungu
2026-07-27 01:56:47
2
royceamani :
Barikiwe sana mtumishi wa Mungu ni kweli kabisa Amen 🙌🙌🙌🙌🙌🙌
2026-06-19 16:20:03
4
niliwako :
🙏🤲🙏Amen🙏🤲🙏
2026-06-19 21:15:04
3
Tullo gram🔥 :
Nina Mungu kwenye maisha yangu 🙏
2026-06-24 05:48:52
3
Stela Kashasha :
amina mungu ndie tunaishi nae
2026-06-19 16:57:17
4
Tina Atoko :
Amen Amen Amen papa
2026-06-18 08:32:13
4
gdt hi fxtghk bv g :
𝘁𝗼𝗸𝗮 𝗻𝗶𝗺𝗲𝗸𝘂𝗷𝘂𝗮 𝗺𝘁𝘂𝗺𝗶𝘀𝗵𝗶 𝘂𝗺𝗲𝗸𝘂𝘄𝗮 𝘀𝗮𝗯𝗮𝗯𝘂 𝘆𝗮 𝗺𝗶𝗺𝗶 𝗸𝘂𝘄𝗮 𝗻𝗴𝘂𝘃 𝘂
2026-06-23 11:07:16
3
barakaoyaya :
amen and amen
2026-06-23 04:47:54
1
user9652153603433 :
MUNGU ahsante kwa ulinzi huu amen amen amen
2026-06-21 16:05:02
2
devotha :
amén amén amén amén amén amén amén amén amén
2026-06-20 06:11:34
3
Nancy :
Amina ni kwa neema ya mungu siangamii
2026-06-25 05:06:36
2
To see more videos from user @mwl.emilian.katub7, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.