@_zuzaism: Part 103 | Tunazungumzia uongo mkubwa ambao umeaminishwa - kwamba Mungu aliumba dunia maelfu ya miaka iliyopita na tunaishi kama watazamaji tu. Tunashare ukweli kwamba sasa hivi ndio wakati pekee uliopo, na kwa sababu una cheche ya kiungu, wewe ni muumbaji pamoja na Mungu (wewe ni Mungu). Tunajadili jinsi wasimamizi wa matrix wanavyotumia akili za watu wengine kupitia hofu na habari ili kuwamanipulate. Tunakukumbusha kuwa kila wazo unalolifikiri sasa hivi ni amri kwenye ulimwengu, na kazi yako si kushuhudia bali kuumba reality yako mwenyewe. #creatorsearchinsights #fy #zuzaism #consciousness #realitycreation
kila unapo zungumza kk nazidi kuona sasa kumbe sikuwa pekeyangu ninae ona vitu tofauti 🙌 big up kk kaz nzuri
2026-06-18 21:08:43
6
Pavard-98 :
umeongea Fact sana, umejuaje yote haya
2026-06-19 01:47:11
2
prime_259 :
Road to the top🫡
2026-06-18 13:24:24
2
A.K 47(MTU KAZI)🦅 :
fact
2026-06-19 01:46:43
1
BREEZY :
sure
2026-06-19 01:36:25
1
04 :
fact🔥
2026-06-18 16:53:32
2
tarimof :
facts
2026-06-18 22:15:07
1
cosmas :
saf
2026-06-18 22:27:11
1
@crown_furniture_design :
fact
2026-06-18 22:30:50
1
doremi pro :
katika yote uliowai nena hapa umenena 💯
2026-06-18 21:56:47
2
Bl@nka 02 :
Great mind
2026-06-18 22:16:02
1
Dickson Daniel :
Absolutely 💯
2026-06-18 22:48:27
0
𝐃𝐔𝐃𝐔𝐔_𝐌𝐄𝐍𝐃𝐄𝐙 :
fact bro
2026-06-18 23:03:43
0
Apostle Valentine :
Aiseeeeee Aiseeeeee umenifurahisha
2026-06-19 03:25:51
0
عكريمة :
😂😂unajiamulia sana mambo bro
2026-06-18 22:42:46
0
Free Palestine 🇵🇸 :
but living well has no connection with all those ideas, truth is the only fact in your experience not some ideas from other people that has been made up by the activity of the thought
2026-06-19 02:39:59
1
NgwaxFilmZone :
Unashida unahitaji msaada ..!! Rudi darasani kdg ujifunze kwanza Mungu ni nani
2026-06-18 22:23:42
1
Mentor Jully :
njooni musome bsns
2026-06-18 22:35:41
1
To see more videos from user @_zuzaism, please go to the Tikwm
homepage.