@gaditv: Kufuatia tukio la gari la mkuu wa wilaya ya siha mkoani Kilimanjaro, kupakizwa jeneza lililokuwa na mwili wa kijana mmoja anayedaiwa kuwa alifariki kwa ajali ya pikipiki baada ya kugongwa na gari la polisi, Uongozi wa wilaya hiyo umesema, jeneza hilo limewekwa juu ya gari lao, baada ya baadhi ya vijana kutoa mashinikizo mawili, wakitaka ufanyike ununuzi wa pikipiki mpya, kabla ya mazishi ya kijana huyo hayajafanyika. Mkuu wa wilaya hiyo, Dkt. Christopher Timbuka, akizungumza na GADI TV June 17, 2026, wilayani humo, amesema kuwa shinikizo la pili walilotoa vijana hao, nikutaka Jeshi la polisi liwaachie huru marafiki zao, ambao walikamatwa wakati wakiwa njiani wakiusindiza mwili huo, jambo ambalo lilifanyika, lakini shinikizo la kwanza likapelekea sintofahamu zaidi na vurugu kutokea katika eneo la msiba.
GADI TV
Region: TZ
Thursday 18 June 2026 06:58:44 GMT
Music
Download
Comments
ladyqueen masaka :
proud to born kaskazini dah kwetu raha ban tuna umoja na upendo
2026-06-19 07:11:07
15
Over confidence 99 :
Proudly to born Arusha
2026-06-18 20:25:29
3
mankalee💗💋 :
as eh haki itendekeee🥺
2026-06-18 08:45:21
17
user8759248550940 :
jamn SIHA ni kilimanjaro sio Arusha
2026-06-19 15:00:20
2
gilbert saronga :
sio haki
2026-06-18 09:34:26
4
castorina :
Safi vijana
2026-06-19 08:50:43
1
Torry villar💸 :
wana comment siha sio arusha
2026-06-19 12:37:19
2
onesmo geraz :
cvvv
2026-06-18 18:19:15
2
lucy kidotu :
ayseee
2026-06-19 11:03:51
0
ntawa@mrt king :
mhuu
2026-06-19 07:45:27
0
qvs0000996 :
nawakubari sana Arusha
2026-06-18 23:52:57
1
MrX :
duh
2026-06-19 13:43:15
0
chagga girl💫🌹❤️ :
duh🙄
2026-06-19 11:41:22
0
Lara Robert :
duuh 😭😭😭
2026-06-18 19:49:52
0
miriam justen :
duh as hatari
2026-06-18 07:52:05
2
Amos Paulo :
ila kuna namna
2026-06-18 07:06:02
1
MATIKO HURA :
Arusha n wanaume
2026-06-18 13:23:30
10
ma zawadi :
duu jaman vijana wamepatwa nann
2026-06-18 07:48:08
8
Ture Man😎 :
Mambo Bado Tarehe 07/07 mtasema bado hamjasema #Shenz sana
2026-06-18 13:14:54
5
user61940174288770 :
tutakaa sawa tu,
2026-06-18 12:29:25
4
ungtos :
Jamn mtu anaskia kilimanjaro anasema Arusha
2026-06-19 06:36:08
1
mjuni03 :
Walikosa pick up
2026-06-18 13:06:28
1
Makuli Masindo :
haki itendeke
2026-06-18 12:08:38
3
To see more videos from user @gaditv, please go to the Tikwm
homepage.