@emmanuel.page5: Kwenye madai hua kuna ghalama halisi(specific damages) na ghalama za ujumla(general Damages) halisi ni lazima zithibitishwe lakini general sio lazima na ni discretion ya mahakama kukupa na isipokupa ni lazima itoe sababu za kwanini haijakupa

EMMANUEL🌎
EMMANUEL🌎
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 18 June 2026 07:06:50 GMT
18362
992
39
42

Music

Download

Comments

swed_255
𝓼𝔀𝓮𝓭_255 :
nawezaje kufungua kes ya madai kma Sina ushaid wa maandish wala.video
2026-06-18 07:13:37
2
danielectronics5
DANI TRONICS :
mzee wa tikisa ivi sungusungu wapo kisheria
2026-06-18 10:51:46
1
unfair120
Mr unfair :
kaka Nina mtu nataka nimtikise. Ni fundi nilimpa pesa aninunulia vifaa amepotea nae. naona kuliko kumroga ukichaa bora nimtikise nipate pesa vp nianzie wapi?
2026-06-18 09:10:07
0
daudi9029
Daudi :
kaka Titisa kwa mfano mtu ukimufumania na mwanamke wako unaweza ukameleka mahakamani
2026-06-18 07:45:04
1
shadferrum6
The-UN-twin :
boss wangu asubiri kutikiswa 😂😂
2026-06-18 20:22:57
0
mejap52
MEJA P. :
kwani ayo mambo yote yanatakiwa yote kwapamoja. ( hiyo ni kesi moja).
2026-06-18 17:01:41
0
calvintronicx
CALVIN_TRONICX :
sasa kaka unataka ukatikise na bado ujafumania😂
2026-06-18 10:29:50
0
brainier68
The Last Nightwalker :
sahivi ntakua nadai sanaa😂
2026-06-18 07:55:59
0
crazybutwiser
VicLakeVibes :
associate vipi kuhusu MTU uliyempa kazi akachukuwa pesa na kazi hakukamilisha mpaka mwisho?
2026-06-18 15:22:11
1
joelmathias887
joelmathias887 :
bro naomba kuongea na Wew
2026-06-18 16:34:46
0
philipo.mkude
Philipo Mkude :
mdeni kulipa deni si anasema kiwango anachoweza kulipa lwa awamu
2026-06-18 19:37:51
1
acquired.lands.su
Acquired lands & survey :
Kuna jamaa yangu namdai ni unaenda mwaka sasa ( Nina ushahidi wa kila kitu sema hatukuwa tumeandikishiana but yeye anakubali kuwa namdai )
2026-06-18 17:17:27
0
freshdripfashion
Fresh Drip Fashion :
Mfano umetoa mahali bila kuandikishiana alafu ndoa ikavunjika kabla ya kufungwa kama ukipeleka kesi mahakamani unaweza kupata pesa yako
2026-06-18 17:46:05
0
neygan_jr
Yusuph :
ikatokea mtu akachukua picha yako na kutengeneza video kwa AI...je unaweza kwenda kudai fidia kwa kukutumia bila utaratib
2026-06-18 16:26:07
0
mr_simba3862
mr-black :
ngoja nitake note Mr. Tikisa
2026-06-18 15:00:33
0
dr_saidi
Dr_Saidi :
Laka mimi niliweka standing order bank moja hivi ambapo hela ilikuwa inatakiwa kuingia katika Fixed account kama savings sasa changamoto kuna hela ya miezi kadhaa haikuingia mpaka ikapelekea nisitishe makato ...Hiyo ilikuwa tangu 2024 mpaka sasa hapo nafanyaje
2026-06-18 14:42:08
0
777.com296
@uchumifresh.com :
🙏🙏🙏
2026-06-18 16:56:36
0
user5088084699250
jumanne clement :
😂😂😂
2026-06-18 07:56:28
0
2pascalnyudula
Pascal_DCC :
💯💯💯
2026-06-19 18:30:24
0
To see more videos from user @emmanuel.page5, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About