@momadini_: Amegundu Sababu ya uhuru wake, Mkewe alimvulia Hakimu. utatamani ungeendelea kufungwa? #fpy: #MoMadini #motivation #unanitazamausoniunapatapicha #creatorsearchinsights
Mo.madini
Region: TZ
Thursday 18 June 2026 08:51:17 GMT
Music
Download
Comments
boss__potee :
Nadeal na Hakimu kimya kimya😂
2026-07-14 11:22:05
1
NICK THE DON KING 🤴 OF JUNGLE :
siwez kuongea bila mwanashelia wangu
2026-07-14 15:08:19
1
Idriss Suleiman :
namsamehe
2026-07-14 17:16:16
1
hamadysamson :
najifanya kama sjui kilichotokea🙏
2026-06-18 13:27:36
6
Future Millionaire Mind💸 :
Namuacha kaka🥺
2026-06-18 09:16:33
4
user4682818622765 :
ñingemsamehe
🥰🥰
2026-06-21 14:22:56
2
kelvin :
namsamehe
2026-06-18 17:56:07
3
t,furniture :
Namsameh
2026-06-18 15:02:14
3
IJONJOA :
ningempenda sana mke wangu 💯
2026-06-20 18:01:05
2
ramahk49 :
Ningempenda zaidi
2026-06-18 10:08:08
3
I’M THE ANTIDOTE :
Na waachia maisha yao 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
2026-06-18 14:53:45
2
Issame Thomas :
kuachana to
2026-06-18 18:25:03
1
KP :
Naanza maisha yangu peke yangu
2026-06-18 10:32:53
1
mfalme ahmad hassan :
kwa eshima babu🙏🙏🙏😂
2026-06-21 20:12:03
1
Officiallenarth :
😂😂😂 me namuacha
2026-06-18 09:05:05
1
Alex mganga :
narudi jela
2026-06-18 09:17:07
1
o :
Sina lakuongea boss nimeishiwa
2026-06-20 11:17:37
2
Abdul muhenza :
me ngezid kumpend kwa sababu kafany kwa ajir ya kunipeda san
2026-06-18 20:36:15
2
FREDDY Mkami :
wala nisinge muuliza chochote aisee na ningemueshimu sana tena zaidi ya sana 💯💯💯
2026-06-27 08:04:25
1
mugunda mtandu :
mbn swala la kawaid,2 ata me pia natembeaga na mke wa m2
2026-07-12 19:08:29
1
001@ :
nmasamehe tu
2026-06-19 13:03:36
2
Adoring Perfume :
kama hakijatokea kitu
2026-06-18 16:05:02
1
Home boy✊ :
namuacha aende
2026-06-18 16:10:25
1
Denis 👊 :
🙂🙂🙂
2026-06-18 12:53:58
1
Uchu :
😁😁😁😂😂😂
2026-06-19 04:23:41
1
To see more videos from user @momadini_, please go to the Tikwm
homepage.