@keha.edson: Kwanini usijenge nyumba ya gharama karibu na majiranii masikini. 1. Thamani ya nyumba yako inachangiwa na majirahi zako. Majirani masikini wanashusha thamani ya nyumba yako. Hii itakuathiri pale utakapotaka kuchukua mkopo benki. 2. Utapata changamoto utakapotaka kuuza nyumba yako. 3. Utajihisi mpweke sana Kama unahitaji ushauri namna ya kuwekeza kwenye nyumba na Ardhi karibu @aredproperties tutakushauri.

Keha edson
Keha edson
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 18 June 2026 09:19:27 GMT
8133
217
7
32

Music

Download

Comments

nownowtz
Glory to Glory :
kwenye lending tunasema Prime Area, Prime Area, Prime Area mara 3
2026-06-18 17:39:06
2
itsmedanielaloyce
️ :
Wana nyumba za tope, unajenga nyumba ya tope pia mkali??
2026-06-18 09:41:57
1
direct.fact
Direct Fact :
kwamba ukijenga lazima uuze,lazima ukope?
2026-06-18 20:15:02
2
user18194724235753
Ta🥀 :
Hiki kitu kinatesa kisikie tu sikujua Sasa kinanitesa vibaya mno
2026-06-18 18:12:24
3
To see more videos from user @keha.edson, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About