@malkiachoicefm102.5: Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Njombe kupitia Chama Cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA), Sigrada Mligo, amesema anaona Bajeti Kuu ya Serikali iliyowasilishwa haina sehemu inayoonyesha moja kwa moja kumlenga mwananchi katika maeneo muhimu. Akizungumza na Malkia Choice FM, Mhe. Mligo amesema takribani asilimia 80 ya ongezeko la kodi limeelekezwa kwenye kodi zisizo za moja kwa moja (indirect taxes), ambazo amesema mara nyingi huathiri wafanyabiashara na hatimaye gharama za maisha kwa wananchi. Amesema ni muhimu kuangalia namna sera za kodi zinavyoweza kuleta uwiano kati ya kuongeza mapato ya Serikali na kulinda uwezo wa wananchi kumudu maisha. #MalkiaUpdates #MalkiaChoiceFM #ChaguoLaMalkia

malkiachoicefm102.5
malkiachoicefm102.5
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 18 June 2026 09:36:35 GMT
14395
465
19
34

Music

Download

Comments

user2546752930606
Rose :
Umeongea madini sana
2026-06-18 11:23:45
12
unclebenny_12
Bensoul :
suluhisho ni nn sasa mh??
2026-06-18 12:56:21
1
zaina.nassoro4
Zaina Nassoro :
🙏♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️🙏 point mtoto wa magufuli woyeeeeeeeeee.
2026-06-18 15:19:02
0
jackline510
Tripple J :
nachoka mimi
2026-06-18 15:26:40
0
johns395
Joh de escobar🥷 :
Akili nyingi
2026-06-18 15:15:56
0
user2627749242786
user2627749242786 :
point sana
2026-06-18 15:27:47
0
gedna.17.18.22
Eastlife :
nakupenda bureeee😂😂
2026-06-18 15:11:21
3
anderson.kagisa7
Anderson Kagisa :
ukovizuri kijana
2026-06-18 15:11:40
1
patylovetz
Partylovetz :
Asant Mmoja zaid ya misukule wote
2026-06-18 14:33:17
1
opongo113
L'eau stagnante :
asante mama
2026-06-18 13:20:35
3
arnolizir1t
Babawa2 :
aiseee
2026-06-18 13:54:04
2
penuelmichael
penuelmichael :
🤔duh!
2026-06-18 12:47:27
1
salamakazimoto1
Salama Kazimoto :
ivi kama hawa tunawaitaji sana
2026-06-18 12:47:31
5
amiriamiri8586
amirishabani :
umetisha mama
2026-06-18 13:03:33
3
user2198198419258
Ashelly :
fact kabisaaaa
2026-06-18 12:45:56
4
henry.ernest4
Henry Ernest :
mbunge vt maalum anaongea vzr kliko wengne jaman
2026-06-18 13:24:17
3
user612530586350
user612530586350 :
FACT
2026-06-18 11:13:25
1
tenywugrz55
milee :
hapo kwenye wafanyabiashara kuna mengiiii saaan
2026-06-18 15:10:41
0
robertkatemi3
Katemi :
daaaa!, mpango wangu utatimia kweli?
2026-06-18 13:21:53
0
faustindavidfrancice
mgwaneza ndushabandi :
daah🔥🔥🔥🔥
2026-06-18 12:53:48
0
cathmmy6
Cathmmy :
Wwe dda upo vzr
2026-06-18 13:45:29
0
modester.agai
Modester Agai :
ivi kumbe tusome tujue mengi
2026-06-18 14:27:44
0
user3960025431342
Edisoni lukasi manyanda :
aise hatar
2026-06-18 14:55:35
1
barakamallo
barakamallo :
Aisee🤦‍♂️
2026-06-18 15:28:25
0
user2819114817924
rashid mohamed :
mh, huogopi?
2026-06-18 12:45:13
1
To see more videos from user @malkiachoicefm102.5, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About